Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

WAFANYABIASHARA wakubwa wa korosho, wawekezaji na watafi ti 169 kutoka nchi 13 duniani zikiwamo nchi zinazoongoza kwa ununuzi wa korosho, India na Vietnam, wamekubaliana kuzuia uuzwaji wa korosho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lengo la uzii huu ni kueleweshana juu ya biashara za migahawa, changamoto zake, na jinsi ya kuzitatua. Na mpango wa kufungua mgahawa wa kuuza chakula naombeni ushauri wenu ni vipi vya kuzingatia...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habarini jamani naomba kuuliza nani ambaye ana uelewa wa kusajili Local TV Channel
2 Reactions
11 Replies
1K Views
The value of goods and services rose by 5.2 percent to over $9 205.2 million by Sept this year according to the BOT monthly bulletin. Gold accounted for 48.6% …. ……. more below follow the link...
0 Reactions
4 Replies
854 Views
Jamani samahanini, mimi ni mgeni humu JamiiForums. Kwa sasa nipo Bagamoyo nimemaliza Advance mwaka huu lakini chuo nitaenda next year. Baada ya kurudi jeshi mujibu wa sheria, nimefungua duka...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nahitaji kufungua Juice bar. Nipo mkoani, nina mtaji wa laki mbili, nina freezer na banda la biashara ninalo. Naomba ushauri na mbinu mbalimbali za kuendesha biashara hii. Juisi ni za natural...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
SERIKALI kupitia Wizara ya nishati imesema Tanzania ina akiba ya gesi futi za ujazo trilioni 57.54 huku matumizi ya rasilimali hiyo kwa sasa ni futi za ujazo trilioni 0.5 tu. Kutokana na hayo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kujinadi kwamba wanaweza kutengeneza pesa mitandaoni na wapo tayari kuwaelekeza wengine kwa ada ya kiasi flani (mtonyo). Njia wanazotumia kupata Wateja 1...
10 Reactions
14 Replies
5K Views
Kama wewe una account kama Facebook page, Twitter au LinkedIn na zina followers waliofika 10,000 na zaidi, ni PM nikupe mchongo. Mfumo ndo naendelea kuuweka sawa, tumeshaongea na makampuni kadhaa...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Moja ya miradi mikubwa ambayo serikali ya awamu ya TANO unatakiwa kupongezwa ni connection ya mradi wa Reli ya mwendokasi na mradi wa kufua umeme wa Nyerere hakika ni perfect kwa sababu ya value...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchana mwema, wakuu inakuaje nimeingiziwa dolar 206 lakini nimeenda kwa Bank teller anadai bado hazija be exchanged into Tanzania shilling?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Introduction: Hisham Hendi (born in 1980) is an Egyptian currently living and working in Tanzania. He is currently the Managing Director of Vodacom Tanzania Plc, a multinational telecommunication...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Namaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwa dar es salaam ni sehem gan wanauza pallet za mbao Na bei zake Kwa wenye kufahamu
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli. Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism. Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi. Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako. Kwa wale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mnakaribishwa wote Kwa mahitaji ya mbao za kupaulia pamoja na Furniture, bei zetu ni nafuu Sana. Tuko Barbara ya 4 karibu na Tanga Uwasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana Jf,naombeni mnijuze umuhimu wa Instagram page yenye followers wengi let say kuanzia 10k to 100k hii hasa kwa business page. Mkinijuza ma umuhimu mengi na mimi naweza nikafanya mpango...
4 Reactions
56 Replies
11K Views
Habari za leo wakuu nahitaji mtaalamu wa website , website yangu iko down nataka inyanyuke iwe hewani tena whatsapp +255682916351 Asante
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka fungua biashara ya restaurant lakini nataka muweka mtu ndo awe manager wa pale wakati huohuo awe ni mfanyakazi. Biashara itauza vyakula 1. Asubuhi vitafunwa aina zote na chai/maziwa 2...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…