Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

habarini wakuu , mm ni mtumishi na nifanikiwa kukopa benki sasa nalikuwa nahhtaji kuongezea mkopo ,, mwenye uelewa kuhusu loan top up anijuze natanguliza shukurani
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Naomba mtu anayefuga anisaidie experience, Ni kuku aina gani wazuri, wa nyama au wa mayai? Wa kienyeji ama wa kizungu ama chotara? Naweza kuanza na kuku wangapi? Na chakula wanakula kiasi gani kwa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Frame ya biashara inatafutwa Maeneo yafutayo ndio kipaumbele 1. Goba 2. Tabata 3. Mbezi mwisho 4. Mwenge 5. Manzese Etc Pango isizidi 200K kwa mwezi isipo kua kariakoo. Maeneo mengine pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi, naomba unijuze bei za mashine za kukoboa, kupack kusaga ili kupata unga wa mahindi. Maana naona tu ..... super sembe. Hata za kukoboa mpunga na kupack mchele, mnisaidie bei zake...
0 Reactions
19 Replies
21K Views
Anatafutwa kijana/dada wa kuuza samaki wabichi aina ya sangara kutoka mwanza. Kila siku atatakiwa kutembeza vipande 25 vya samaki. Malipo ni 4,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 112,000. Chakula na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea. Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau naomba kujua wapi nitapata aina hii ya mifuko kwa bei ya jumla kwa Dar au Arusha. Au hata kama ushawahi kununua bei zake zinaendaje. Maan naona ndio itakuja kuwa mbadala wa mifuko ya nylon...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu... Nimeshangaa kukuta bei tofauti za mafuta ya Petroli katika Petrol Stations mkoani Kagera. Hivi hawa Ewura ambao ndio wadhibiti wa Nishati hii (Petrol)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya selikali kupitia waziri mkuu akiagiza wazalishaji wote wa pombe wafunge mashine zitakazo kuwa zina bandika stempu za kodi mpaka sasa ni banana investment tu ndie aliye aandikishwa TRA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fursa. natafuta kijana umri miaka 18 - 30. Awe anajua kushona na kudesign nguo kwa cherehani. Nataka kuingia ubia wa kufanya kaz pamoja. Mtu yuko interested anifwate inbox.
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Habar wakuuu, mwenye kufaham sehem wana deal na kuweka lable kwenye zile braclate za mkononi kwa mkoa wa arusha, anipe direction. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
647 Views
Hello guys kwema. Naamin mpo sawa sawa Naomba kwa mfanyabiashara/ mjasiriamali anaeuza kuku wa kienyeji pure na kuku wa kisasa broila tafadhali naomba tuwasiliane tufanye biashara...kwa Dar es...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Listed below is detailed summary of the procedures, time and costs to build a warehouse -including obtaining necessary licenses and permits, completing required notifications and inspections and...
1 Reactions
12 Replies
12K Views
Dear SUA Graduate business owners, I hope this message finds you well. I am a founder of what we call Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative Society LTD (SUGECO). This...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
salaaam ndugu zangu great thinkers nataman kuanza biashara tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kujua je inahitaji kias gan cha mtaji kuanzisha biashara hiyo?????? nawasilisha natumai kupata msaada
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Yaani utajaza mifomu utaanza zungushwaaa utafikiri unapewa bure, Mara kuna waraka Wa mkurugenzi Wa huduma unaelekeza ivi Mara ivi , wakati Wa chaz ilikuwa fasta
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi kwa utendaji wake wa kazi . Naomba niseme nimefurahi sana kuona Mh Raisi kafanya ziara Mkoa wa mbeya ambapo kwa mujibu wa report itakuwa ni ya muda wa siku 8...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wakuu..! Nahitaji kufahamu kisima cha maji baridi (yaani maji yasiyokuwa na chumvi) huwa kinapatikanaje..? Je,inategemea na eneo lako..? Au ni jinsi/namna ya uchimbaji tu..? Wataalamu wa...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Salaam................... Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea na mishe mishe za kusaka mpunga kila penye fursa za kuikamata mbesa, dhumuni kubwa la uzi huu ni kutaka kufahamu fursa za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…