Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers Ntawafukuzaje
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Nataka kusajili tovuti hivi karibuni.Ni hatua gani za kufuata ktk usajili wa tovuti?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama unamiliki biashara hakikisha customer care never die. Tuache tabia kwamba ukishapata Loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu. Always remember to add value to your product and...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini wasomi wenye background ya sayansi na engineering ndio wanaofanikiwa sana kibiashara? Angalia mataifa ya magharibi lakini pia hata africa na tanzania specifically , wasomi wengi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Boeing 787-8 Dreamlinner inatarajia kuanza safari zake za nje ya nchi ifikapo Julai mwaka huu. Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mkuu wa...
2 Reactions
7 Replies
988 Views
Wakuu habari Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini Richard Kasesela amesema ni kosa la Uhujumu Uchumi kwa mtu yeyote mwenye mtaji unaozidi shilingi milioni 4 kutumia Kitambulisho cha mjasiriamali. Kasesela amesema...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hongereni wana jamvi kwa kupata neema ya kuamka hii Leo. Nimekua muuzaji wa Simu used kwa muda kidogo ambazo nlikua nanunua kwa watumiaji wa hapahapa nchini ila nikapata wazo la kupata Simu toka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habar za jion ndugu zangu nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya kuleta na organise wageni kuja kutembea na kufanya utalii ndani ya nchi (tour company) nilikua naomba muongozo wa kutengeneza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, mwenye ufahamu juu ya biashara hii anijuzee, Ufafanuzi ktk Mtaji.. Gharama za vibari.. Gharama ya mashine Faida Na process za kibenk kwa ujumla Karibun..
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu tajiri niliwaambia anajua Sana ubunifu.amekuja na Azam ukwaju kaajiri watu wengi Safi sana anaangalia fursa anaifanya kwa Hali.ana bidhaa nyingi huwezi kumfananisha na matajiri wengine .Azam...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa pendwa napenda kufahamu , mfano nataka ninunue simu online kupitia tovuti zetu pendwa hasa JUMIA kwa wale wazoefu ,mpaka mzigo ukufikie mnunuaji hulipia gharama zote...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kadri biashara inavozidi kuwa ndivyo nawaza kuongeza bidhaa zaidi Nahitaji kuongeza bidhaa kama mifagio ile ya plastc na taa hizi za betri Just naomba kujua wapi nitaweza kupata mifagio na hzo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka jana (Bachelor of education with science) , Sasa nimeamua kujiajiri, Nimekuja na wazo la kuanzisha tuion center kwa hapa Arusha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ombwe la serikali kukataa kuichapisha ripoti ya IMF hivi karibuni sio jambo la kwanza kufanywa na serikali ya awamu ya tano. Kabla ya IMF, mtakumbuka kwamba serikali ya awamu ya tano iliipa kazi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu polen na mihangaiko ya hapa na pale naomba kujua juu ya biashara ya kubet. Gharama ya kununua mashine na commision yake ikoje ni hayo tu!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam.............. Leo naleta uzi huu kwenu wana JF nikiomba kujua vitu vichache na vingi sana toka kwenu, nafahamu kuwa swala la kujiajiri limekuwa swala mtambuka Sana miongoni mwetu vijana...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mfano ni huyu bwana Jeff Bezos jamaa sahivi anamkimbiza Bill Gates kwenye list na matajiri. Huyu jamaa mtandao wake unaingizaje hela? Jack Ma wa AliBaba Mark...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna ambo moja ambalo nimeona watu wengi wanalifanya Kuanzisha biashara kwa sababu wana mtaji. Unakuta mtu anaazisha biashara ya mtaji wa milioni 100 kwa sababu ana milioni 200 na wakati...
8 Reactions
18 Replies
7K Views
Nipo mwanza najihusisha na ujasiriamali wa kutengeneza viatu vya kufunika na vya wazi, sasa biashara ni ngumu kutokana na mtaji mdogo ni mwaka sasa nimeanza(nina flem kabisa) lakin biashara haikui...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom