Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika miaka 2 au 3 iliyopita...Kulianzishwa jukwaa la wachumi..Mh Mpango alizindua Kwa nini hawajawahi kukutana na kujadili changamoto au mjadala kuhusu uchumi? Au wana hofu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wanajamvi,samahan nnataka kuchukua mkopo bank NMB ila take home yangu ni laki tano (500000)je naweza pata kiasi gani cha mkopo?na nkardisha kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingap...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, UTANGULIZI Kwa asili ya ajira za kitanzania, ajira ambazo una uhakika wa kupata pesa ya kujikim ila sio ya ziada, ajira ambazo una uhakika wa kubanwa na kazi kwa masaa yote ya...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Norway’s Statoil and United States based ExxonMobile will invest up to 30 billion US dollars (over 48.2trn/-) in the next ten years before commercial production of liquefied petroleum gas (LPG)...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye uelewa na microfinance anijuze yafuatayo: 1. Unahitaji mtaji wa kiasi gani kisheria kufungua microfinance ya kutoa mikopo ya muda mfupi isiyozid miezi mitatu. 2. Procedure...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Hii kazi uwezi jutia lakini wengi wetu, sana sana sisi wanaume uiona haina maana lakini ukihifanya kwa stadi na bora wa juu huweza kuingiza kipato kikubwa sana Kazi yenyewe ni: 1. UFUNDI...
5 Reactions
72 Replies
10K Views
Amani iwe kwenu wana JF Kama heading ilivo Naitamani sana hii Biashara ya usafirishaji wa abiria hasa hasa ya haice ndo ninapotaka kuanzia kabla sijaingia kwenye mabasi makubwa, Mwenye ujuzi...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama mda inavyo sema nahitaji msaada wenu wadau nahitaji kukopa kwenye mtandao wa talaa lakini Nina kitambulisho cha mzanzibar hakikubali nafanyeje na Nina kitambulisho icho tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam! Ila ndiyo ivyo import pale getini iwe namanga, iwe holili, iwe tarakea wanazingua geti la tz TRA wameeka utaratibu siyo yaani sijui tupite njia za panya, hivi yupo anaye zifahamu njia za...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
CRDB kinara Afrika Mashariki Source:http://mtanzania.co.tz/crdb-kinara-afrika-mashariki/ Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Benki ya CRDB imetajwa kuwa benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau natafuta tv card pichani ya Sony Bravia 42" Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Kuna account huko Instagram inafanya biashara ya vyombo vya ndani na jikoni. Huyu bwana anabei inayotamanisha kweli na kwa maelezo yake baada ya kumtwangia simu alidai hana ofisi bidhaa zake zipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu. Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji. Najaribu kuwaza...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya kufuatilia kwa mda mrefu mjadala wa FOREX humu ndani na pamoja na kufanya utafiti sana na kujifunza,nimegundua yafuatayo 1-FOREX INALIPA 2-FOREX INAHITAJI SHULE HASWA 3-FOREX INAWEZA KUWA...
4 Reactions
81 Replies
16K Views
Nahitaji kufungua mgahawa, ambao utatoa huduma zifuatazo: 1. Juice fresh ya matunda, na ya miwa 2. Chipsi, na ndizi za kuchoma. 3. Mishaki na nyama ya kuchoma. 4. Supu ya samaki, mbuzi,maharagwe...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Nauza vifaa au vyombo comply kwa ajili ya. Chips.kama vifuatavyo.kuna kabat.meza mzuri majiko ya kukangia na kuchomea.ya mkaa lkn..vyombo vingine pia.yani ukichukua ni kwenda kuvitumia tu.bei yake...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Ni ngumu na inataka commitment. Experience ya maisha yangu kila nipatapo kamshahara huwa nawaeleza familia yangu kisha tunakaa tunaupangia matumizi au bajeti kwa vipaumbele vyetu ndani ya familia...
41 Reactions
65 Replies
8K Views
Too many travelers, too few planes is U.S. airlines' 737 MAX summer dilemma
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Mgonjwa hospitali...kwa sababu uwezo wa kujenga umepaa. Kama mingo zilikuwa hazieleweki unaweza jikuta unajenga awamu ya sita. Kila wikiendi unaenda kukuangalia kiwanja kama kigonjwa kimelazwa...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom