BAADA ya kukabidhiwa rasmi na serikali ndege aina ya Fokker 50, Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) imesema itaiingiza ndege hiyo katika ratiba yake ya safari za ndani ya nchi. Miongoni mwa safari hizo...
Habari wana kijiwe? kutokana na ugumu wa maisha kwa awamu hii yatano na nina vijiakiba vyangu nimeonelea kuanzisha biashara angalau nipambanae na hali yangu. Inafahamika kama biashara zimekuwa...
Nahitaji mtu mwenye uelewa wa biashara ya kukopesha fedha (micro credit).
Je leseni naipata wapi baada ya kufungua kampuni?
Minimum capital ni shilingi ngapi?
Naweza pata mtu wa...
Jumia ni kampuni ya kuishtaki tu kwa sababu wanapouza bidhaa zao huwa wanachomoa baadhi ya vifaa na vinafika vikiwa sio complete ukilinganisha na ungenunua dukani.
Pia ukijaribu kuwapigia katika...
Nmegundua kwamba sio wafanyabiashara wengi wanatumia mitandao (Internet) kuwapata wateja wao, wakati ukweli ni kwamba kwa kutumia mitandao hasa mitandao ya kijamii unaweza kuwapata wateja wengi...
Jamaa yangu kila siku amekuwa akiniuliza ni bidhaa gani ambazo unaweza kwenda kuziuza China zinazo toka tanzania na wachina wanazihitaji sana? Na upelekaji wake ukoje yaani usafiri? Msaada wenu...
Wasaalam Wanabodi..
Nimepata Subcontract Dangote Industries (T) kwenye usafirishaji wa Cement. Kwa sasa sina Lori za kutosha hivyo ningehitaji hata Lori zingine 50.
Kwa wamiliki wa Malori ya...
nauza vumbi la dagaa maarufu kama dagaa nyama au dagaa wa zanzibar .vumbi hili hutumika kama sehemu muhim katika mchanganyiko wa chakula cha kuku!!!ninapatikana tanga na pia tunaofisi dodoma...
Sipingani kuwa, idadi kubwa ya watu katika sehemu inaweza kuongeza demand ya bidhaa au huduma.
Lakini je, kweli hiyo "idadi kubwa ya watu" wanahitaji bidhaa au huduma yako unayofikiria...
Habari zenu wakuu.
Husika na kichwa tajwa hapo juu, nina Plan za kuanza kuzalisha juice za matunda. Naomba msaada wenu wa mawazo katika nyanja zifuatazo;
Eneo zuri la biashara yaani ofisi...
Waafrika wenzetu tena jirani zetu wa Uganda wamezindua mabasi yanayotengenezwa nchini mwao tena na waganda wenyewe. Hivyo badala ya kutoka mabilioni ya pesa nje ya nchi kwa ajili ya kununulia...
Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin...
Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko...
Wadau,
Salaam...
Ninaye ndugu yangu, yeye anahitaji kumnunulia mke wake gari. Anauwezo wa kulipa 50% then inayobaki sawa analipa kila mwezi.
Je kwa Dar zipo yard za magari wenye utaratibu huu ...
Jamani ambao wamewahi kufanya biashara ya mpunga hasa maeneo ya Mpanda naomba wanipe uzoefu kidogo
Gunia sh ngapi, changamoto zake, gharama za usafirishaji mfano kutoka Mpanda hadi Mwanza na...
Ndugu zangu nakuja kwenu nikiamini humu tupo watu wengi wenye uzoefu tofauti tofauti na uzoefu huo utatujenga wote.
Lengo langu n kufanya biashara ya mitumba, na lengo langu n kuwa nanunua belo...
Samahani wanajamvi, sijui Kama ni jukwaa husika ila naomba walau kujua Maana halisi ya Daylight Saving Time na Jinsi inavyoathiri biashara na shughuli za kiuchumi kwa nchi zinazohusika ikiwemo...
Habarini ndugu, kama kuna mtu anakopesha fedha naomba anisaidie. Mimi niko mwanza ila nina shamba la ekari moja la mpunga huko katavi na kuna pesa kama laki mbili nilikopesha kwa watu ambapo elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.