Domination. Ethiopian Airlines, after acquiring 45% of Zambia Airways, 49% of Guinea Airways and 100% of new Ethiopia-Mozambique Airlines, has taken 49% ownership of Chad Airlines in relentless...
naomba kuuliza ! CRDB walinikopesha milioni saba! NMB walinikopesha laki saba! CRDB namaliza mwakani mwezi wa nne kulipa mkopo wao. Hivyo wananidai milioni mbili na laki mbili na sitini elfu. NMB...
Naitaji kufungua mgahawa sehemu mbili tofauti maeneo ya Mlogalinza na mawasiliano karibia na chuo cha wanafunzi wa sheria sina uzoefu sana na hii kitu na mtaji upo wa kujitosheleza.
Naomba kujua...
Nimejichanga mbali na vyuma kukaza nahitaji kutimiza ndoto yangu mwezi ujao ila bado nipo dilemma katika kufanya maamuzi maana gari zote hizi nazipenda ,Toyota Rav4 new model na Toyota vanguard...
Habari zenu? Poleni kwa majukumu ya siku nzima
Nakuja kwenu kuomba ushauri. Nahitaji kufanya biashara kwenye huu mji ninaoishi lakini October naenda kusoma mkoa mwingine na mimi bado sijakomaa ki...
Nahitaji mkopo wa dharula wa sh.250,000/=
dhamana yangu ni laptop ya sony.
Proccesor i5
Hd 300gb
Ram 2gb
Win 8
Kwa mwezi mmoja tu.
Tuwasiliane kwa 0755 360552
Nipo dar.
Kuna watu wanaamini kwamba Hali za kimaisja zikiwa nzuri basi ndipo hata biashara zitafanyika.
Ukweli ni kwamba kwenye wakati mgumu sana ndo hapo huwa kuna Inovatios,
Kwenye kipindi kigumu sana...
UNDERDOG BUSINESS/PROJECT
Underdog ni ile hali ya watu wengi au majority kuwa na imani kwamba hutafanikiwa au hutashinda kwa unacho kifanya au unacho shindania.
Yaani asimilia zaidi ya 99 huwa...
Ninapo zungumzia shadow nazani naeleweka. Hii ni sawa na ilivyo Baraza kivuli la Upinzan pale Bungeni.
Kwenye Biashara napo kuna Shadow Director.
Hawa ni watu Very portential ambao huwekwa kama...
Huu ndo ukweli ambao hutakaa uambiwe ila ni ukweli mtupu na iko hivyo.
Hakuna mtu atakae kuambia fanya hiki au fanya kile UTAJIRIKE au KINALIPA kama yeye hatapata chochote kile kutoka kwako...
Wachina inapo kuja swala la Ushirikiano wako juu sana. Viwanda vyao vingi na hata kampuni zinazo kuja kuwekeza huku na kupewa tenda za kujenga Barabara na Majumba ni muunganiko wa watu wengi...
Napenda kuwasalimu nyote katika jukwaa hili la mambo muhimu!
Ningependa kujua kama kuna mtu anayejua bank ambayo inaweza kutoa mkopo kwa dhamana ya shamba la miti au kiwanja na conditions ambazo...
Hii Dunia kwa sasa kama akili haifanyi kazi kwa speed kari basi ni shida tupu.
Kwa sasa Wenye akili wamekuwa wakitengeneza wajinga wengi sana akilini mwao ili wale wajinga sasa wa implement Idea...
Mkurugenzi mkuu wa Vodacom, Ian Ferrao
Kuimarika kwa mapato ya kampuni ya Vodacom kumeiwezesha kupata ya faida ya Sh170.24 bilioni hivyo kuwa na uwezo wa kutoa gawiwo la Sh83.81 kwa kila...
Habari wana jukwaa ni maatumaini yangu kuwa ni wazima, niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli kwamba asilimia ya watu wengi maisha ni magumu ila moa ya tatizo linalotukumba wengi wetu ni...
Habari wana jamii forum..... Napenda kuuliza, hivi huu mfumuko wa bei za vyakula katika kipind cha mfungo wa ramadhani uwa unasababishwa na nini?? Je kuna sabbmab zozote za kiuchumi??
Mmeshindaje wakubwa! Samahanini kwa usumbufu ila naombeni msaada kwa wale wanaofahamu juu ya hili.. Ni kitu gani au chemical gani inayowekwa kwenye maziwa kama azam, daily fresh, lato nk au juice...
Nikuumbushe kitu kimoja ndugu yangu, ni lazima maisha yako uwe kama chujio tena chujio la umakini kuchagua yupi wa kuwa nae karibu au kubaki nae katika safari yako ya mafanikio kwasababu hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.