Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

First and foremost I would like to share with you some gist of Real Estate (A,B,C, Ds in Real Estate Issues). Due to the deterioration in local economic conditions, such as unemployment because...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Naombeni msaada wenu, nahitaji mkopo kwa ajili ya kufanya biashara ya Mbaazi soko lipo ila sina mtaji naombeni mnikiposhe million 1. Nitaweka dhamana vyeti vyangu vya O level na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Habarini, Nilikuwa Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye ujuzi au taarifa zinazoweza nisaidia kwa kupata mafuta ya nywele kama olive oil, Castor oil, jojoba kwa bei ya jumla.. Nataka kufungua...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Kuna jamaa yangu yeye ni Mmiliki wa phamasi na ni phamasia by proffesional alikuwa ni mara nyingi amekuwa akinishawishi tufungue clinic ambayo haitakuwa ya kulaza (yaani tuwe na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo naomba niongee na wafanyabiashara hasa hawa wa rejareja. Kuna hii tabia inaboa sana na inatufanya tusijiamini wakati wa kufanya manunuzi kama vile hukujiandaa maana ukijidai kupack kama vile...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wabunge ‘wailipua’ tena TICTS wadai inahujumu nchiNa Ramadhan Semtawa JINAMIZI la Kampuni ya Tanzania International Container Terminal Service (TICTS), limezidi kutawala kufuatia hatua ya baadhi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
habari za siku natumaini ni wazima kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu kwanza niseme ni mara chache sana kukuta kampuni au biashara ina toa huduma nzuri sana na kujitangaza sana vyote kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jemedari yeyote ambaye askari wake wa chini hawamuelewi ni vigumu kushinda vita. Ili kushinda vita unahitaji mambo mengi,na kubwa kuliko yote ni morali,wasaidizi wako wanafanya kazi za kinafiki...
2 Reactions
0 Replies
834 Views
Niipi Kati ya hizi course ni nzuri kwa nchi yetu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sawa na mada hapo juu napenda kuanzisha kiwanda kidogo cha chaki swala la soko lipo. Mwenye uzoefu na hii inshu anijuze jinsi ya kupata mashine nzuri za kisasa, wapi napata material, vifungashio...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
wakuu. kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya, Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza...
5 Reactions
106 Replies
8K Views
Bei ya reja reja ya kununua chuma chakavu imeporomoka kutoka sh mia tatu hadi sh mia mbili hamsini. Pia bei ya makopo ya plastic yaliyotumika kwa kilo nayo imeporomoka kwa takrabini asilimia...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Habarini wanaJF![emoji112] Naombeni ushauri na pia kama mna idea nyingine naombeni mnisaidie. Ndiyo nipo kwenye research yangu hii ndogo,ningependa kufahamu bei ya mashine MUHIMU za kutengeneza...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari za humu wakuu,Kumekuwa na story za nyumba za Lugumi zikivuma kabla na baada ya mnada zaidi ya week sasa.Naomba nijuzwe huyo Lugumi ni nani? na nini kilichopelekea nyumba zake kupigwa mnada?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kuanza biashara ya kutengeneza na kuuza unga wa lishe kwa watoto na wakubwa. Sasa changamoto nilonayo ni pa kupata vifungashio vya unga. Na pia soko lake nalifanya vipi ili niuze unga wangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi mimi ni mwanachuo wa mwaka wapili apa UDOM kwasasa nina 200,000/= ambayo nataitafutia kibiashara au shughuri yoyote ya ku invest hii pesa ili inizararishie na huu ndio...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Wanabodi, Clouds Fm wanafanya show yao ya Fiesta tarehe 25 Nov huku EFM pia wakifanya show yao tarehe hiyo jijini Dar tena bure, Dar ina watu wengi lakini ni kweli usiopingika kuwa lazima kuna...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema huko mwakwenu wandugu? Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kwa nn Africa kitu kinaitwa kianzio ni changamoto kwa % kubwa? Tatizo ni nn? Za chini chini zinasema kuwa kwa muda aliongoza Bw...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Habari yenu waja jf nahitaj kununua shares iwe ya bank au company binafsi
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Mimi ni m1 wapo kama kichwa cha uzi.. Nina lengo la kua mfugaji wa kuku wa biashara ila wiki hii nimekumbana na hasara ya laki mbili na 10.. Baada ya kuku wangu karibia 10 kuugua na hatimae kufa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…