Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je...
Nimesoma kwenye mitandao nikakutana na kitu Online Forex business. Nimejaribu kusoma lakini sijaelewa sana. Yaani kununua currency moja na kuiuza kwa currency nyingine online, Mwenye uelewa...
Wakuu kama uzi unavyojieleza Kati ya mbuzi na kuku ufugaji upi unaweza kukupa tija bila kukumbana na majanga ya magonjwa kama kuku mfano gomboro. Kideli nk.. Najua Kuna watu humu wameula wa chuya...
Wakuu habari za Leo,Mimi sio mgeni sana hapa Jf Ila acc yangu ya mwanzo nimeshindwa kuitumia Kwa ss,..
Naomba kujua uzoefu Wa wafanyabiashara Wa Mpya za dukani hasa wale Wa Arusha na maeneo ya...
Habari za muda huu wana jamii forum
Nahitaji mnisaidie tafadhalini,
Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu...
Habari,
Leo baada ya king'amuzi changu kuisha salio nimebakiwa na channel moja ya kutazama, si nyingine bali TBC.
Naona hapa kipindi cha "this week in perspective". Wanajadili mambo mazuri ya...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair went upwards last week, after moving sideways on Monday and Tuesday. Price gained 210 pips, closing above the...
Kuna hoja tofauti kuhusu uwezo wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara,kwa anayefahamu hili....
Ningependa kufahamu uwezo mkubwa wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara wakubwa...
ndugu zangu mim naomba ku-share na ninyi story hii.
watoto wangu (wana miaka 6 na 4) wamefunga shule . walienda kwa grandparents wakakaa kama wikil mbili. wamerudi Jumamosi. kesho yake jumapili...
JINA LA BIASHARA
Jina la biashara ni kitu muhimu sana, na kuna watu wanaamini kwamba mtu hujieleza kupitia jina lake, Na kuna vitabu vingi sana vimechapishwa na vinavyo elezea maana ya kila Jina...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwka wa pili napenda sana kufanya biashara ila nahofia sana kufanya vivo kwani program ninayoisoma inahitaji kuwa busy sana sasa imekuwa kikwazo kwangu kwani...
Katika pitapita na harakati za hapa na pale huku nikitafiti vitu vidogovidogo nimona mfano wa kitu ambacho ni vizuri Tushiriki katika kujadili na kubadilishana maarifa.
Mzee mwenye mvi na mke...
Mimi kwa majina naitwa Stewart simba nipo mwanza pia ni mwanachuo ktk chuo cha afya tandabui {tihest) nasomea utabibu(clinical medicine )diploma . Lengo la kuandika ujumbe huu ni kwamba nahitaji...
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza ,Mimi Kijana mwenye umri wa miaka 24 nilie maliza Chuo nikichukua kada ya engineering
Lengo.
Ni kwamba nimekua Na idea nying za kibiashara naweza list some...
Wakuu nimekutana na hii asasi ya Kopa Mali foundation mtandaoni ( http://www.kopa-mali.wapka.mobi/site_0.xhtml ) naona kama vile maelezo yao ni mazuri na ningependa kuwa mwanachama lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.