Ongezeko la gharama za uendeshaji wa benki na masharti mapya ya kodi yaliyowekwa na serikali kwa taasisi za fedha yameathiri yametajwa kuathiri mwenendo wa utoaji mikopo kwa wafanyabiashara...
Wakuu mm ni kijana wa miaka 22 niko mjini nafanya kazi ya kuajiriwa kwa mtu kwahiyo kila siku inanipasa niamke saa 12 asubuhi na kurudi saa moja usiku
Hii kazi nimefanya kama miaka 4 ila naona...
Kama una njia mwanana ya kupunguza nilichokitaja hapo juu unawepa pata promotion nzuri ya kazi eneo mwanana..
Nipe mkakati mzuri wa jinsi ya kufanya hivyo.nikiona unafaa kwa sbb nmekua na...
1. Kodi lazima iwe jambo la kwanza kuwaza. Hebu waza kwanza ni biashara gani nifanye ambayo haitonilimbikizia mzigo wa kodi? Ni lazima biashara utakayoichagua iweze kukupa faida ya kutosha kuliko...
Binafsi ni muumini wa kilimo na Teknolojia. Najaribu kuwaza kiwanda gani naweza kununua au kutengeneza kwa gharama ya millioni nne za kitanzania angalau kije kufunguliwa na kiongozi wangu wa mtaa...
Wakuu kama uzi unavyojieleza wewe unatarajia kuanzisha either genge kijiosk.
Duka ama project yeyote yenye kuwekeza kias fulani cha pesa ila kutokana na kukosa ujuzi unahisi kama hutofika mbali...
Salamu,
Nimgependa kupata ushauri na maelezo wa jinsi ya kuwa a Clearing Agent.
Ningependa kujua ni license gani zinahitajika na ni mamlaka zipi zinatoa hizo license
Ningependa kujua gharama...
Baada ya bomoa bomoa ya maeneo ya JAMATINI,SARAFINA NA STAND YA MKOA maeneo ambayo yanamilikiwa na Shirika la Reli Tanzania na Wajasiliamali kupitia umoja wao wameomba eneo la kufanyiabiashara kwa...
Biashara ni ajenda ya Duniani sasa, Viwanda ni kujenga uchumi wa kujitegemea, hivi ni kuvifikia ikiwa Taifa halifundishi jinsi ya kupata mahitaji ya kwa kujitegemea.
Ikiwa shule zitafundisha...
Hamjambo wakuu,
Napenda kufahamu namna watengenezaji wa sabuni majumbani wanavyopata
faida, hasa sabuni za kipande/miche .
Je , gharama za maligjafi zikoje? Mfano soda ash nk
Je, time...
Jamani kuna mkasa umenipata nimeona niuweke hapa ili kama kuna watu wa TRA wausome na waache wizi.
Jamaa yangu amenunua gari zake mbili zilizotumika. Gari alizonunua ni Escudo gharama zilikuwa...
Naombeni kwa mwenye kujua jinsi ya kupata TIN Number.
Asanteni
HABAR WAKUUU,
Nnaomba msaada kwa anaejua ni njia zipi nizitumie kupata Tin number ya TRA kwa ajili ya kampuni, nmesajili kampuni...
Nimekuwa na biashara ya kutengeneza chopstick wengine huziita chokstick, nataka niziweke kwenye kifungashio na ziweze kukaa hata kwa mwezi mzima bila kuharibika na pia kupanua soko langu, naomba...
Ajira za kuajiliwa za hovyo sana wakati mwingine.
Serikali mishahara midogo sana.
Unaenda benki mara 1 umeshakatika kabla hata ya tarehe 30.
Moshi mjini kuna kijiwe kinaitwa 'Red Stone'. Kipo...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold is bearish in the short-term, and neutral in the long-term. In the long-term, price consolidated throughout November; but in the short term, the last...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
The bullish bias on EURUSD was challenged last week, as price was pulled towards the support line at 1.1800. However...
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo...
Jamani, kunayeyote alihawi kununua hisa za tccia.je muliwahi kupata gawio la hisa au kupata hata taarifa za maendeleo ya uwekezani kutoka kampuni hiyo.natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.