Habari wana jf,Leo nakuletea utengenezaji wa dawa ya kuondoa madoa kwenye vyoo{stain remover}
Vyoo vingi huwa na madoa yanayoleta uchafu wa rangi za njano ,kijani.Huwa vigumu kuondoa kwa...
Kuna tofauti kubwa Kati ya kuanzisha biashara na kujiajiri..
Watu wengi wamekua wakijiajiri na kuzani ni wafanya biashara... Kuunda biashara ni kazi ya muda mrefu na inahitaji umakini...
Wanajamvi salam kwenu.
Naomba kuuliza kuwa je kama nimetumiwa zawadi ya vitu kutoka nje, je napaswa kulipia kodi TRA? Mfano nimetumiwa nguo kadhaa na Viatu, je ni Kiwango gani kinapaswa kulipiwa...
Habari wadau ni apps gani inayoweza kutoa mkopo kwa njia rahisi na uhakika? Branch na tala hawa hawaeleweki wameweka hizo app watu wadownload ili tu wapige hela.
Kwenye mwezi wa tatu mwaka huu baada ya kujimeki sana niliamua kufungua biashara fulani baada ya vyuma kukaza sana.
Ila changamoto ikaja baada ya kuanza bishara eneo nililopo ikawa tra kila...
Nimekua nikifatilia hii kazi na naona imepata wafuasi wengi wanaotoa mrejesho mzuri,bila wasi inafuta ile hofu ya wanaohoji uhalali wake.
Serikali ya Kenya kupitia Capital Markets Authority(CMA)...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kwa kunipa nguvu na afya kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo eleza najua wengi sana huku tunamalengo yetu kuna watu malengo yao yameshatimia na kuna bado...
Wakuu habari za majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Nataka nipate mchango wenu ambao tayari wa uelewa wa mambo haya. Kutoka Tanzania mpaka Uganda inaweza kukost kiasi gani...
Nimeshaagiza mizigo mitandao kama ebay na aliexpress kwa mafanikio ila nikiri alibaba nimeshindwa hizi shipping gharama ni kubwa mpaka sielewi wauzaji wanafikiria nini mfano nilikuwa nataka niwe...
Ndugu zangu waweza kua mtumishi wa Umma au umeajiriwa au Huna kazi. Lakini tambua hakuna kazi utakayo fanya ili ufanikiwe hakika.
Nunua vitabu vifuatavyo na nikuunge kwenye group la mafunzo mbali...
Miaka ile kulikuwa na mavitabu yale ya njano yana namba za simu za watu binafsi, makampuni na mashirika mbalimbali.
Ni kwamba watu hawaoni fursa hii au ni kwamba sisi tumeendelea saaana? Hata...
kiukweli kwa mtu yoyote msomi au mtu yoyote ambae yupo mtaani yawezekana akawa anajua hili?? kwangu mimi naona Elimu yetu TZ haimuandai kijana kuja kutegemea taaluma yake kumkuzia kipato bila...
Habari wanajamvi,
Nataka kumfungulia saluni dogo aweze kupata riziki ya kila siku hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi...
Habarini wana JF nina mtaji wa sh laki tano (500000) nimefikiria biashara ya kuuza chakula yaan kwani watu wanadai inalipa sana.
Ila kwa kua sina uzoefu nayo hivyo nmejikuta nna maswal meng kuhusu...
Nataka kuanza kutengeneza crips (ndizi na viazi) na kusambaza madukani,Je nahitaji vifaa gani ili niweze kutoa crips bora,Je mnanishauri mashine gani itayoweza kuvimenta chap chap na kwa wingi...
Wakuu nataka kuhamishia gari yangu aina ya costa mkoa wa Lindi.
Je, biashara ya daladala inalipa huko?
Nimesikia kwa siku unalaza laki je ni kweli?
Naomba wakaazi wa Lindi wanipe ufafanuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.