habari wadau..
najua humu kuna watu wengi wanaofanya biashara...
tukianza na mimi nina biashara ndogo ndogo tatu tofauti... kwa yeyote akisikia ishu asisite kunitafuta...
1. nina workshop ya...
Kesi hii ya mauaji ya muandishi mahiri wa habari za kiuchunguzi Carlos Cardoso nchini Msumbiji ndio labda iliyoipa serikali ya Rais Joaquim Chissano wakati mgumu sana hasa baada ya kusahau kipindi...
Kifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3...
Wadau Kwema??
Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia...
Je wewe ni mkazi wa Arusha na ungependa kupata ABC kuhusu FOREX? tarehe 12/01/2018 New safari Hotel kutakuwa na semina ambayo itaendeshwa na TAHIR KHAN aka STRYKER kutoka UK. semina hii ni bure...
Wakuu ni matumain YAngu mupo salama.ili kupambana na hali zetu nitaka kujikita katika biashara ya mitandao ya simu(Wakala ambapo nitafanya huduma zote za kipesa na kuswapu Lain naomben uzoefu...
Ndugu wana JF,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo hivi sasa nimemaliza field yangu, nina muda wa mwezi mmoja mkononi nafikiri kuanzisha biashara ya kuuza sabuni za maji katika mashule na sehemu...
RANDOM THOUGHTS FROM LIFE ON THE ROAD
Louise Bedford and I have just wrapped up about a month of travelling to different states and presenting, which is something we haven’t done for probably 15...
Wanyekuelelwa naomba kujuzwa hili.
Unapopita Mtaa wa Toure Drive ukitokea Mijini utakutana na mabango mengi mno yanatangaza huduma zinazotolewa na Benki ambayo haikitajwa katika mabango hayo...
Biashara hizi kutakiwi kujiingiza, kwasababu hata kama huna tamaa. Zinakujengea matumaini na tamaa ya muda mfupi ya Kutajirika.
Zina sifa mbili au zote ya sifa zifuatuatazo;-
1. Idea ya...
Habari za kazi wakubwa
Kutokana na kuona watu mbalimbali wakiomba kurushiwa/kupatiwa vitabu mbalimbali vinavyotoa mafunzo na motisha kwa watafutaji wa maisha hususani wale Wajasiri katika...
Jaman Leo nilikuwa na noti mbili za USD 10 , 10 yaani USD 20. Ajabu nimeenda kubadili Mbeya maeneo ya Mwanjelwa pale Century plaza nimeshangaa kukuta wananunua $ kwa Tsh...
Wadau naomba mwenyevuzoefu wa kilimo, cha matikiti maji kwa arusha kinafaa sehemu gani na itakua sh ngapi kukodi shamba sehemu yenye maji ya kumwagilia nataka nijaribu heka moja au mbili .pia...
Kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa,niende kwenye mada naomba kujuzwa kati ya kuendesha boda boda yako au bajaji ya kwako pia ni ipi hap inalipa zaidi mana nataka nichukie kimoja kati ya...
Naitaji kufanya biashala ya Maji
Mimi nimgeni
Kwenye maswala ya biashala
Naitaji muongozo kwa winye ufaamu wa iyo biashala nduguzangu nina msingi wa milioni1 sijapata frem bado na nipo dar.
Heshima kwenu wakuu wangu
Kama kawaida leo nakuja tena katika jukwaa muhimu kwangu hapa JF.
Hakika kuna mambo mengi sana yanayochangia mpaka mtu kuwa na mali nyingi ama utajiri. Ukiachilia...
Ni baadhi ya bidhaa zinazo uzwa kupitia (OMASAM TRADERS LTD)ni oil bora na salama kwa Gari,piki piki,Mitambo,yako
Na greases,mafuta ya break
Tuna ujazo wa aina mbali mbali kama ifuatavyo...
Wanajukwaa Salaam,
Imani yangu tunaendelea vizur.
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza bidhaa mbalimbali za wanawake.
Kitu kimoja kinanisumbua kichwa, niiweke hii biashara yangu sehemu gani...
Wadau wale wenye uelewa na hili mnisaidie kufaham, hivi pale unapoachishwa kazi yale malipo anayotakiwa akulipe mwajili mwenyewe huwa yanakatwa kodi? Na je yale malipo ya Sikh huchukuliwa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.