Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sijui nilireport hili kwa kwa nani ila naamini wapo wasafiri wengi wana weza kunisaidia; Kwa wasio jua Swisport, hili nishirika kubwa sana duniani la kutoa huduma mbalimbali kwenye viwanja vya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Shost alinipa hii kuwa kufanya biashara na wake wa wachungaji ni bingo, kwanza si wababaishaji pesa yako wa kikuahidi J5 itakuwa tayari huwa ndiyo ukweli. Shost alinunua vitu on line kutoka Amzon...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika dunia ya sasa utengenezaji wa mpango wa biashara umekuwa ni lazima na kwa biashara yoyote unayoifanya bila kuitengenezea mipango haiwezi kufanikiwa, leo nimeamua kuanza na baadhi ya mambo...
4 Reactions
17 Replies
15K Views
Wakuu kama muonavyo pichani, kwa wale wataalamu hayo ni madini gani? Ni kama jiwe hivi (gem) ina rangi kama gold hivi au brass inayong'aa sana. lina uzito wa zaidi ya 60gms.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heri ya sikukuu wadau, Kwa kuwa mwaka unaisha na kwa kuwa naamini katika kutengeneza fursa naona ni washirikishe moja ya mipango yangu kwa mwaka 2018 tushauriane. Kwanza kibasa mfahamu hili swala...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is bullish in the short-term, but neutral in the long-term. Price rose from the support line at 1.1750 and...
2 Reactions
7 Replies
644 Views
Wadau wa Jf Baada ya hali ya maisha kuwa ngumu kwa wengi wetu nimeona ni vyema nianzishe Uzi huu wa kupeana mawazo chanya ya kibiashara kwa maana humu JF ni sehemu ambayo nondo zote makini huwa...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Huu mchezo wa Biko uchezeshwaji wake wanipa utata kidogo hauko wazi kama TATU MZUKA. Kura za Biko hufungwa siku moja kabla ya droo, na hata wakati kina rushwa kwenye TV, kinaendeshwa haraka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is bullish in the short-term, but neutral in the long-term. Price rose from the support line at 1.1750 and...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Habari za majukumu wakuu..naomba kujulishwa ni njia gani itapendeza zaidi ya kupokea pesa toka uchina kuja kwenye account ya benki (equity bank ) .
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza... kuna websites mbalimbali duniani zipo kwa ajiri ya kusaidia watu wenye uhitaji kupitia taasisi ambazo zipo kwa ajiri ya kusaidia na sio kutengeneza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wana uchumi,wafanyabiashara na wajasiriamali. Baada ya kuachana na akaunti ya bank miaka 6 iliyopita nlipokua natunza fedha zangu za boom na baada ya kumaliza chuo nkabaki choka mbaya...
1 Reactions
2 Replies
10K Views
taasisi ya fedha yaongeza kiwango cha riba
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama unahtaji majina ya ajira mpya natuma kwa buku kwa njia ya whatsapp namba 0653573094 hii namba haipo whatsap piga tu Ipo kwa mfumo wa pdf
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Want to know about *BITCOIN* A lot of monkeys lived near a village.[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] One day a merchant came to the village to buy...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha mada apo juu, Mtu yeyote anafanya biashara hiyo ya nafaka (mahindi, mchele) ndani ya Tanzania anahitajika haraka. Kuna deal imetokea napotesema deal namaanisha pesa so njoo PM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This is real Entrepreneur from Tanzania
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza... kuna websites mbalimbali duniani zipo kwa ajiri ya kusaidia watu wenye uhitaji kupitia taasisi ambazo zipo kwa ajiri ya kusaidia na sio kutengeneza...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
Habari zenu wakuu! Poleni kwa kazi za kulegeza vyuma. Naomba mnisaidie mawazo kwa huyu rafiki yangu. Jamaa kamaliza chuo mwaka huu na alikua na pesa kama laki 9 kwenye fixed account. Tarehe ya...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Habari zenu wakuu, Mara kadhaa nimekuwa nikisikia sikia kuwa Comoro kuna fursa nyingi za kibiashara lakini sijafahamu hasa ni fursa zipi zilizopo. Kwa wale watafutaji wanaozunguka sehemu...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom