Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.
Je nataka kujua faida...
Salamu wana jf Kama tunavyoinasibisha Jamiiforums kama shule kwahivyo tumejifunza mengi hususani katika nyanja za biashara na ujasiriamali, nikianza mimi
Nimejifunza vingi ila kimoja wapo ambacho...
Juzi kwenye taarifa ya habari ya Azam niliona maandalizi makubwa ya kuanzisha kiwanda cha sukari pale mto Wami.
Nikiwa mkazi wa Matipwili naona kwangu hiyo ni fursa ya kiuchumi mwaka huuKaribuni...
Salam zenu wakuu,
Naombeni tu nijuzwe maswali kadhaa tu yaliyoniacha njia panda
Nimejaribu kufatilia interview moja kutoka kwa millardAyo kuhusu pesa za tanzania zinavyotengenezwa,aliyekuwa...
Habari zenu wakuu.
Leo nataka nilete ushuhuda kuna kitu nimekifanya na nashukuru kimenilipa tena kwa mara ya kwanza kabisa.
Leo nilienda kkoo kufanya research za biashara nikapiga picha baadhi...
Wadau nimelazimika kuuleta tena huu uzi ili nipate msaada wenu juu ya jinsi ya kuingiza simu used na brand new tokea China na Korea. Nataka kuingiza simu genuine Samsung brand toka Korea na simu...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bullish
Gold dropped massively in the first half of last month, reaching a low of 1236.21 on December 12, 2017. At that juncture, further bearish movement was...
Habari wana board....
Habarini za mwaka mpya
Kama kichwa cha habari kinapojieleza hapo juu kuwa biashara za majuu
Kwa yoyote yule ambaye ana experience for the first time kupeleka mzigo...
Jana tu nimenunua kitabu leo nimetengeneza mkaa wa kisasa jumatatu jioni natarjia kuutumia na kuwapa majirani wautumie kwa majaribio
Nakaribisha wadau ambao wanatumia mkaa kwa wiki mnipe deals...
Kwa welewa wangu mdogo katika kile ninachokifahafu, Chombo kimojawapo cha kuendesha uchumi wowote duniani ni the use of Budgets. Nitaongelea aina tatu za Budget na madhara yake.
1. Surplus Budget...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
There is a Bullish Confirmation Pattern on the market. Price went upwards by 170 pips last week, almost managing to...
Habari wakuu?
Naamini Jf ni familia moja,nimepata dharura hivyo nahitaji milioni 6 tu nitatue tatizo langu,dhamana ni gari yangu mwenyewe...gari ni Toyota Wish,utabaki na gari mpaka...
Habari wanabodi. Kabla sijafika mbaki napenda kuwashukuru wote mliotoa michango yenu kuhusu manunuzi kwa njia ya mtandao. Kweli mimi binafsi nimefaidika sana na michango na nyuzi zenu Mungu...
Habari wana jf Mimi nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mtandao wa Jamii forum
Nimekuwa miongoni mwa watu wanaojivuania ushauri pamoja na mawazo yanayoambatana na fulsa kadha wa kadha zinazotolewa na...
Kama title inavyojieleza wadau, nataka kufungua maabara ya vipimo vya afya kwa kigamboni kimbiji. Je kuna anayefahamu sehemu yenye uhitaji wa huduma hii?
Wakuu nimatumain yangu mungu ametufikisha salama kwamara nyingine tena siku yaleo tunaendelea namajukumu kama kawaida.wakuu ninalo eneo lenye madini aina yadhababu tayari limeshalifanyia hatua za...
Wadau nimekopa ela bank nikaamua kujifungulia biashara zangu, ya kwanza nlikuwa natoa ndizi mikoani naleta Dar kwa kiasi flani nilifanikiwa lakini mwishoni nikakutana na madalali feki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.