Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

  • Closed
Habari wadau, Nimegundua kuna watu wana vipaji vya kupiga watu hela, mfano huyu dogo Ontario maana nimesoma thread ambayo dhumuni lake kuu ni kuitangaza bit coin na wenzake apige hela ila kaanzia...
20 Reactions
256 Replies
21K Views
Great thinkers tujadili mawazo ya viwanda vidogo vidogo, vinavyoweza faa hapa Tanzania kwa mazingira ya sasa. Serikali inahamasisha watanzania tujikite katika eneo hili.. Mimi nataka kuingia...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Kama uzi unavyojieleza. Salam! Wana jf.. Najua Kuna watu wamenizidi umri humu bas shikamooni Kwanza kabisa mi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa 3 na wa mwisho, nilipanga mwaka wa 3 nianze kufuga...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Welcome Mjasiriamali Desk This is an excellent resource for connecting with other entrepreneurs or business leaders. Business owners can access information generally about planning, starting, and...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Habari! Je biashara yako ni ya aina gani? Je ni biashara ambayo huwezi kuifanya katika muda wote wa mwaka? ikiwa jibu ni NDIYO, basi biashara yako ni ya MSIMU. Je msimu wa biashara unapokwisha...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za humu ndani, Juzi kuna jamaa mmoja alinipigia simu na kuniuliza kama ninataka shamba la kupanda mikorosho Lindi kwa bei ya Tsh 20000/= Mimi nikamwambia yes but sikumwamini. Je ni kweli...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanabodi nilikua naomba kupatiwa kuhusu biashara za nywele za kichwani za kina dada,mwenye uzoefu na India nilikua naomba utupatie taarifa,alieniletea aliniambia amechukua BOMBAY(INDIA) ila...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Natumaini mko buheri wa afya kabisa. Kila wakati nikiwa naangalia taarifa ya bahari ya ITV huwa naona taarifa ya mifuko ya UTT AMIS na nimekuwa sielewi kwa hakika ni nini hasa. Mwenye maelezo ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ni mteja wa miaka zaidi ya mitatu wa Vodacom na nimetumia hela yangu nyingi sana kwenye huduma zao hadi nimekuwa mteja wa thamani. Nimekuwa nakopa na kulipa kwa wakati (isipokuwa mara moja tu...
2 Reactions
31 Replies
11K Views
Habari za asubuhi wana Jf.Jana usiku nilishirikishwa kikao cha familia ya Mzee mmoja mstaafu mwalimu wa shule ya msingi wilaya ya Muheza Tanga. Huyu mzee ni msambaa amepata milioni 77 ana watoto...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Heri ya Mwaka!! Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu. Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje? Siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni imani yangu kuwa jukwaa hili ina wazoefu katika kila kipengele fulani cha biashara. Naomba kushauriwa nataka kuanzisha biashara ya; 1. Mashine ya kukamua alizeti- nataka nifugue Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kwa yoyote anayetaka kufunguwa biashara ya fitness center yani gym mtwara mjini naomba anicheki tuangalie jinsi ya kuchangamkia fursa hii aliyetayari anicheki
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani humu kwema. Wadau kwetu kuna njaa sana hasa miezi ya February, March na April. Ni miezi ambayo kwa kweli kunakuwa na shida kubwa sana ya chakula. Watu wanajinusuru kwa kununua mihogo kwa...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Daa nawaza tu hivi hawa jamaa siku hawawezi kuamua tu kila mtz aingiziwe M5 salio la pesa. Siku hiyo sijui itakuwaje karibuni wachumi
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Siku chache zilizipita , BOT imezifungia benki tano na kuziweka chini ya uangalizi benki nyingine tatu ambazo ni Kilimanjaro corperative Bank, Tanzania Women's Bank and Tandahimba Community Bank...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The market essentially consolidated throughout last week – in the context of an uptrend. Although price did not go...
1 Reactions
1 Replies
469 Views
Hello wapendwa, nilikua nauliza maswali gani unatakiwa ujiulize binafsi kabla ya kuanzisha biashara....?? naenda kumuona business advisor,ila ningependa baada ya kupata ushauri wake nimuulize...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani. katika kiwanj a kuna maji pia umeme Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Editorial correction to the Directors Report for year ended 30th June 2017. Paragraph 13: Results and dividends on page 13 of the Report of the Controller and Auditor General on the Reports and...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Back
Top Bottom