Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Rafiki Najua watanzania wengi wanapenda kusikiliza kuliko kusoma, wanapenda kuletewa habar kuliko kuzifuata, hata mimi miezi kadhaa nilikuwa hivyo nilipenda kuuliza kwa simu, kila biashara...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf.Hili ni jukwaa langu ninalolipenda sana hapa ni kama nyumbani.Baada ya mwaka2017 kuisha kwa mafanikio makubwa kwangu kupitia assets zangu mbalimbali huu mwaka lazima nipige...
2 Reactions
9 Replies
914 Views
Wanajamvi, Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale...
11 Reactions
50 Replies
11K Views
Hivi kuna sababu gani ya abiria ambao bado hawaja nunua ticketi kutozwa pesa endapo wakitaka kuingia Ubungo? Lakini haishii hapo bali hata wale wasindikizaji nao hulazimika kuishia nje otherwise...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wadau.. mimi ni artist tu niliyebase kwenye graphics designing, tshirt printing, posters and banners printing na proffessional photography... nilianza business miaka kama minne iliyopita...
27 Reactions
70 Replies
11K Views
myShop Software ni mfumo maalumu kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa duka la jumla na rejareja, pharmacy, mini supermarket, saloon za kike na kiume, stationary, maduka ya nguo na viatu na maduka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nawasalimu wote Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Week iliyopita nilimsikia waziri mkuu wa tanzania akieleza nia yake ya dhati katika kuboresha zao la kahawa na kuakikisha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kampuni ya diamond traders yaliza watu ni ile inayofanana na DECI tahadharini wanajamvi wenzangu kuna makundi yenye no za uwakala yamezuka yanayofanya investment kwa njia ya mpesa na tigopesa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
embu tuongee ukweli, hivi hao mnaowapelekea training ya forex trading ni watu gani?? mie nahisi mna prey kwa watu wasio na kazi, wengine hata basic computer skills hawana , mnawapelekea...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The market was bearish from Monday to Wednesday, and then began to make some bullish effort, which eventually paid for...
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Natafuta vijana 200 ambao tutaunda group la Whatsapp kwa commitment ya kuchangia kwa kutuma moja kwa moja kwenye benki husika sh. 50,000 mpaka 84,000 kila mwisho wa mwezi ambazo zitawekwa kwenye...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini za Asubuhi ndugu wote. Mwenzenu mimi ni Dereva mzoefu wa magari toka mwaka 1996. Nimekua taxi mani kwa kipindi kirefu sana na mwaka 2009 niliamua kutafuta ajira katika mashirika na...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
NICO WALITANGANZA KUTOA GAWIO KWA WAWNAHISA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA 12. KWA KUWA MDA UMEPITA SANA BASI TOENI NAFASI YA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KAMA ACCOUNTS, SIMU ZAO ANUANI MPYA, NA...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Kama unataka kutoka bila kutumia nguvu nyingi sana basi fanya hii biashara. Yani biashara ya kuandaa events kama za harusi za mtaani, maulidi, kipaimara, vigodoro, misiba nk. Unachotakiwa ni kuwa...
1 Reactions
31 Replies
18K Views
Habari za jioni wakuu na wajasiriamali wa jukwaa hili la Biashara,uchumi na ujasiriamali! Awali ya yote nimepata tenda Fulani ya kupeleka chakula mgodi Fulani ambapo nimeambiwa kama niko tayari...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi mabenki yanavyofungwa na kufilisika,hii ina tafsiri gani katika uchumi wetu???? Kuna uhusiano gani kati ya uchumi wa nchi na mabenki kufilisika???? Naomba admin usiifute huu Uzi tafadhali,
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa hili napenda kuipongeza serikali na kampuni ya cement Dangote, bei ya cement imekua nafuu sana kwa wale wanaojenga wakati huu, najua kwa Dar itakua pungufu zaidi ila sisi wa mji kasoro bahari...
8 Reactions
59 Replies
10K Views
Nipo dar es salaam , ni mwanafunzi wa chuo nahitaji mkopo wa laki 2 ili niongezee ada ya chuo, mwenye kunikopesha naomba anipe vigezo husika, Naombeni ushirikiano wenu, nimalizie masomo,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wandungu, Kuna mdogo wangu huwa anatengeneza bidhaa ndogo ndogo, kama biscuit, karanga za mayai, keki, kashata nk then anapeki vzr, na kuna supermarket moja imeshakubali kupokea bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom