Kwa hali ya maisha ya watanzania walio wengi ni VIGUMU sana kuishi bila kukopa. Vinavyokopwa ni vingi kianzia fedha, vyakula, nguo na bidhaa nyingine.
Ziko sababu kadhaa ambazo HUMLAZIMU mtu...
Wanajamii, kwa wale wenye uelewa mzuri kuhusu hizi taasisi za kifedha,ni ipi hasa inatoa mkopo mzuri na kwa riba kidogo?
Swali lingine ni utaratibu wa paying off loan, yaani ulichukua mkopo...
Naamini humu kuna kila aina ya watu wanaoweza kunielimisha kuhusu hili. Hivi ni benki gani hapa nchini ambayo inalipa interest nzuri katika ule mpango wa Fixed Account? Mfano ukiwa na milioni moja...
Wafanyabiashara wengi wachanga huanza safari yao na ndoto ya kufanya makubwa katika ulimwengu wa biashara. Kuanza biashara na kuendeleza kwa ufanisi ni changamoto kubwa sana. Kunahitajika...
Salaam wanaJambo wenzangu. Nilitokea kupita mitaa ya Arusha siku chache zilizopita na kwa mshangao wangu mkubwa nikakuta kwamba kiwanda cha General Tyre (Njiro Area) kimefungwa.... Nilifanikiwa...
Habarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu. Naomba kwa wajumbe humu ndani wenye kuwa na Moyo, niazimeni kiasi cha shilingi milioni moja.
Lengo la kupata kiasi hicho cha pesa ni kuongezea...
Wakuu habari zenu,ninatafuta kujua bei ya fusso used toka Japan or anywhere ambako zinapatikana. Specification ni Fighter Box yenye engine ya D16. Please mwenye idea naomba anipe msaada wa kufaham...
Habarini wajasiliamali
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nataka nianze biashara ya umachinga naombeni ushauri biashara gani inatoka sana huko mitaani hasa maeneo ya mjini kama kariakoo kwa mtaji wa...
Kwa wale wauzaji wa jumla tuwasiliane nataka nianze kufuga kuku wa kutotolesha mayai naanza na vifaranga 150 tu, na naombe ushaur namna ya kuanza kufanya biashara hii ya ufugaji wa kuku wa mayai...
Tanzania: kama familia ya mama Pekupeku
Nani aje kuisimamisha nchi yetu katika mzunguuko huu wa matukio na umasikini? Kwa maana bila yavyo, hatutoki ng'oo!
Kwamba ukiitafakari nchi hii, na yale...
Nipo hapa vingunguti kkkt kanisan stend kubwa kabisa ya daladala yaani 90%ya wanavingunguti hii ndio starting point ya safari zao nyingi hasa za kuelekea ndani ya mji na maeneo mengine.
Nilipata...
Karibu kila mtoto wa shule ya msingi utakayekutana naye leo ukamuuliza (kwa wale wanaojitambua) anataka kufika wapi kielimu, atakuambia anataka kufika Chuo Kikuu. Ni ndoto ya karibu kila mtoto...
Muda sio mrefu wale mnao deal na forex mtakufa kufa midomo wazi! Baada ya upepo wa hizi visual currency kuanza kudorola. Kuweni makini na hizi exchange maana kuna mtu mmoja kaja na mtazamo wake wa...
Kwa mfano: KILIMO kinalipa kwa sababu kila siku lazima wale chakula. Ndo maana hii ni fursa kubwa Africa hata sasa kwa sababu kuna nchi zina uhaba wa chakula.
Ningependa tu-orodheshe...
[emoji830]Kuna jambo ambalo linawaangusha wafanyabiashara wengi na kuwafanya washindwe kufikia mafanikio
[emoji117]Jambo lenyewe ni *kutokuwa na subira,* Kwa mfano mtu unapongia katika...
Kuna hawa jamaa wanajiita WOP, Himo-Tuneries aisee wana Products za viatu, bags, football, mikanda, n.k vyoti ni ngozi original.
Niliwahi kununua kiatu miaka mitano iliyopita mpaka sasa utafikiri...
Natafuta mahali au duka napoweza kupata Ethernet cable kwa ajili ya Internet.
Nisaidieni wakuu wangu wenyeji wa Arusha hapa, mie mgeni.
Nimezunguka zunguka maduka baadhi hata Sipati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.