Tangu enzi na enzi, binadamu tumekuwa viumbe ambao maisha yetu tunayaendesha kwa juhudi zetu wenyewe. Tangu enzi za uokotaji na uwindaji, mpaka enzi za kilimo, kila mtu aliishi kulingana na juhudi...
*CHURA*
Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambacho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..!
Kadri temperature inavyo...
Ndugu yangu tofauti kubwa kati ya mtu aliyefanikiwa na wengine sio *Elimu* wala *kipaji*,
bali ni kushindwa *kuthubutu*.
We endelea kukimbiza mbawa zako kama *kunguru mwoga*
♂endelea kuogopa...
Mwana jf tumia uoga wako kwa faida
Woga ni kitu ambacho watu wote wanacho, hakuna mtu anayeishi duniani na ikawa hakuna kitu asichokiogopa na kama yupo mtu wa aina hiyo basi atakuwa ana...
Hali imebadilika miaka hii, Wasomi (wanavyuo) wanalalamika ajira kubwa zaidi ni kuwa wanaajiriwa na watu ambao hawasoma elimu ya juu.
Mwanachuo unategemewa na jamii kuanzisha fursa ili uajiri...
Habar Zenu wadau Naomba msaada kujua kwenye hilo nililouliza kama tittle inavyosema apo juu Nawasilisha Ahsanteni
Unaweza kutag watu mbali mbali waje watusaidie juu ya suala langu ilo apo
Habarini wakuu!,
Matumaini yangu mpo wazima. Aisee, mimi naombeni ushauri na ujuzi juu ya biashara ya uuzaji wa magazeti mbalimbali ya kitanzania toka global publisher na kampuni zingine toka...
Non-performing loans (NPL) ni ile mikopo ambayo benki au taasisi ya kifedha imeitoa kwa wateja na wadaiwa wakashindwa kuirudisha kwa wakati uliainishwa kwenye mkataba au makubaliano. Hizo benki...
Habari Great thinkers..Baada yakukaa kwa muda mrefu naandika mabarua yakuomba kazi ya kufundisha masomo ya Geography na English (secondary)nimeamua kuomba ushauri wa nikwanamna gani naweza pata...
TANZANIAN FIRMS FEUD OVER BRAND NAME IN RWANDA
Two rival Tanzanian firms, Bakhresa Group and Azania group of companies, both with interests in Rwanda are involved in a bitter feud over a...
WorldRemit imeshuhudia ongezeko kubwa la shughuli za kutuma pesa nchini Tanzania
WorldRemit imeshuhudia ongezeko kubwa la shughuli za kutuma pesa nchini Tanzania
Huduma hii dijitali ya kutuma...
Hi great thinkers baada ya juzi mwalimu mstaafu kuwapa mitaji wanae pesa zimeanza kutumika kama ifutavyo:
Watoto wa kike wawili wamenunua shamba ekari tano wameshanunua miche ya michungwa...
1. A business plan is a marketing action.
A well-thought-out and presented business plan demonstrates to yourself and others that you are serious about your business idea, you have the passion...
Binafsi nimekua mshabiki wa Bitcoin, sio tuu kwa maneno bali pia kwa vitendo, kwa vitendo kwa maana ya kuwekeza katika hii teknolojia: kuwekeza fedha, muda na jitihada. Hivyo sizungumzi haya bila...
Habari ya jioni wana jamii.
Mdogo wangu ana mtaji wa shilingi milioni kumi, ila hajapata chaguo sahihi la biashara ipi afanye, alikuwa amewaza kufungua salun ya kiume aiweke iwe na vifaa vizuri...
Habari za kushinda ndugu zangu,polen kwa majukum ya kujenga taifa letu,naomba msaada kwa anaefaham makato ya NMB na CRDB kwa kila mwezi,pia naomba kufaham makato yao pia kila baada ya kutoa pesa...
Katikapitapita zangu nimekutana na vijana wabunifu wakiwa na program yao mahususi kwa Wajasiriamali,Viwanda vidogo na makampuni amabyo itawezesha kuuza biashara zao kwa njia ya soko la mtandao...
Wadau kwenye nchi kila siku bank zimekuwa zikiongezeka kila siku. Hali hii ni nzuri maana inaongeza ushindani na kumfanya mteja kupata huduma nzuri zaidi tofauti na bank ilivyokuwa chache. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.