Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wenye mapenzi ya biashara mliopo mikoaa hiyo mnaawezaa kupiga pesa na kupata milioni kwa mwezi ila mtaji uwe milioni 8-10 ndo utaweza Fanya Mwenye shida ya kujua na Mwenye mtaji aje pm
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Pengo baina ya matajiri wakubwa na watu wa kawaida lilipanuka zaidi mwaka jana kwa mujibu wa shirika la Oxfam. Asilmia 82 ya fedha zilizotengenezwa mwaka jana zilikwenda kwa asilimia moja tu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii forums, Napenda kuwataarifu kuwa kwa wale wanaotembelea jukwaa la Mjasiriamali Desk, wanachama/wasio wanachama sasa wanaweza kutembelea jukwa hilo kwa urahisi sana kupitia simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia Forex, Nadex sijui nini. Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka. Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho. Ewe mwenye vipesa vyako...
45 Reactions
102 Replies
16K Views
Huenda zimeshaelezwa ila sio kwa maneno mepesi sana. Hizi hapa ukizifuata hakika unatusua vema sana popote duania! 1. Uwepo wa soko ~ Kwamba biashara hio unayotaka kufanya vipi ina soko? Jijibu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanabodi salama? Nimepanga kufanya study tours za kutosha 2015 ili niweze kuimarisha shughuli zangu za ujasiriamali. Nilishawahi kufanya huko nyuma,niliyoyaona yalinipa hamasa ya kufanya vizuri...
14 Reactions
45 Replies
6K Views
Contact Email Address: donald.asheri@gmail.com Kwa wafanya biashara Napenda kuwaarifu kuwa natoa huduma zifuatazo: MAJOR AREAS OF SPECIALIZATION 1. Business Advisory Services – business...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
When economists are trying to understand the economics of growth, they usually go by the numbers. Yet, not only don’t the numbers always add up, they also lack the dimension and context needed to...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Habari za asubuhi. Naomba kujua jinsi ya kusajili internet banking ya CRDB. Nimeshajaza form na nimetumiwa message. Ila sijui nianzie wapi.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wanabodi, kuna mkopo unahitajika urgent wa kiasi cha Milioni 4. Dhamana ya mkopo huo: Kadi ya gari aina ya IST. Kwa maelezo zaidi kuhusu picha, mawasiliano,nyaraka zingine muhimu na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu natumai nyote ni wazima wa afya kabisa Husika na kichwa cha habari hapo juu kwa mwenye ufahamu wa kusafirisha mizigo nchi za west na south africa kwa gharama nafuu naomba anielekeze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni maajabu sana mtu kukosa hela! Na ni ujinga uliokomaa! Binadamu wana mahitaji mengi sana.Fursa ni kemkem kila mahali na kila sekunde iendayo kwa MUNGU. 1. Umeshindwa kufuga? 2. Umeshindwa...
3 Reactions
24 Replies
39K Views
Wandugu naomb mjihadahri na hawa watu. Hivi ni kwanini wabongo hatujifunzi tu?? Jaribu kuingia kw website yao ,halafu pima kama kuna ukweli. Soma muongozo vizuri kabla ya kuchangia Mfumo ni...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii, Nahitaji kujua ukubwa wa mota ya kusaga na na kukomoa, nataka niwe napack sembe, ipi ni bora kiuchumi zaidi ili nipate faida.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
amani iwe nanyi ndugu zangu,kuna hii kitu inanishangaza sana utakuta kijana mfanya kazi za kawaida sana tukiachana na kazi zenye mishahara mikubwa kama ubunge hapa nazungumzia kwa mwanajeshi...
8 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari za Jumapili, Sera ya nchi tunaambiwa "HAPA KAZI TU" Mimi ni kibarua katika kampuni moja hivi ya simu za mikononi lakini mnajua maana ya kibarua unaweza ukaamka ukaambiwa "your no longer"...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
#FAHAMU Dubai ndio Mji pekee duniani ambayo askari polisi wake wanatumia magari ya kifahari zaidi na yenye spidi kali zaidi. Polisi hao wanatumia magari aina ya Bugatti Veyron, Ferrarri FF au...
5 Reactions
73 Replies
30K Views
Habari zenu wanajamvi,ni matumain yangu mko salama. Naomba kuuliza biashara ya kutumia selcom machine inalipa kwa wanaoifahamu? Pili ukiwa na ile machine uweke biashara gani ya kuisupport ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Jumapili watu wa Mungu. Ni matumaini yangu mu wazima kabisa. Pole kwa yeyote mweye matatizo, ndio ubinaadamu. Niende kwenye mada. Miaka kadhaa iliyopita tulipata kusikia kuhusu upatu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair consolidated throughout last week, moving between the resistance line at 1.2300 and the support line at...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Back
Top Bottom