Wana Jamii, jana nilitembelea banda la Tanzania Investment Bank katika maonyesho ya Nane Nane hapa Dodoma na nikakutana na watengenezaji wa boat za kisasa za uvuvi (SONGORO MARINE BOAT YARD) ambao...
Good morning;
Apart from politics,I am a business turn around strategist and I have worked with a number of businesses and individuals in helping them map their career development.
The business...
Katika mafanikioa yako pambana sana na hali yako na utatoboa man.
Iwe ni kwenye biashara iwe ni kwenye kazi na respect sana Dream yako. You have a dream na respect sana your own dream na kamwe...
habari za usiku
Wengi tumewahi ama kuanzisha au kufikiri kuanzisha biashara fulani.
Mara zote tunapowaza biashara kuna mambo madogo lakini ya muhimu sana ambayo huwa hatuyawazi sawa sawa ambyo...
Hackers wameshafanya yao huko japani katika duka kubwa(largest digital exchange) la coincheck na kuondoka na kiasi cha pound 380 millions
Coincheck wamefunga na kuzuia withdrawal na deposit aina...
Natafuta sarafu za shilingi moja-moja, za Nyerere za mwaka 1976, 1979, upande wa nyuma wa sarafu hizo,una mkono ulioshikilia mwenge.
Ntakupatia shilingi milioni moja hapo hapo.
Pia nina sarafu...
Habari wakuu!
Kiukweli Mi sikuridhika sana na serikari kuipa UDART kuwa kinara wa utoaji huduma bora.
Nakumbuka kuna mwaka huko nyuma serikari ilitoa tuzo Kwa kampuni ya SCANDINAVIA kiuhalali...
Habari za jioni wadau wa jf kuna huu mtandao wa Your Shopping friend in Africa - EasyBuyAfrica - Site naomba kujuzwa kama uko salama katitka kununua bidhaa online kupitia mitandao kama ebay n.k au...
Habari wadau, nilikua naomba msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa taratibu za kupata kibali cha uchimbaji mchanga mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga.Nina eneo la ekari 3 ambalo linamchanga wa kutosha...
Habari zenu wakuu nimekuja kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji kwenda bondeni kujaribu biashara yangu ya viatu vya kimasai naomba kujua ni gharama gani niandae halafu ni utaratibu upi...
Nguvu iwe za akili na za mwili pia ni mtaji. Ukizitumia vyema nguvu hizo na ukidhibiti vyema matumizi yako utaweza kutoboa tu. Kuna watu wapo tayari kukulipa kiasi flani cha pesa kwa kuwasaidia...
Habari wanajamvi jamani, tafadhali mwenye kujua ama kufahamu ni jinsi gani ya kubadilisha jina katika line ya uwakala wa tigo pesa, ni vitu gani unatakiwa uwe navyo ili wakala mkuu aweze...
Wasaalam wakuu
Kama kichwa kinavyojionesha hapo juu swali langu la msingi ni kwanini watu wengi hasa sisi ( watu weusi) tunashindwa kujipangia malengo??namaanisha clear,written,measurable and...
Heshima kwenu brothers and sisters poleni na mihangaiko ya kila siku,,
Naomba mnisaidie informations in details katika hiyo business in Tanzania, hivi mchakato wa kurun those firms inakuaje na...
Good morning my beloved members! Natumai mmeamka salama.Leo niwape nilicho kiona mwaka jana huko Gabon.
Nilifikia kwenye jiji la Port- gentil Kwa matembezi ya kawaida kuangalia fursa za...
Habari zenu wana JF, naamin mpo salama na amani imetawala.
Wadau mimi binafsi nilitaka tu tushirikishane fursa mbali mbali zilizopo kwa sasa. Naamini kila mtu anakubali kuwa hali ni ngumu sana...
Ndugu wana jf, mm ni mwanafunzi wa chuo kikuu ,nimekwama ada kiasi cha laki 2 , aliye tayar kunikopesha kwa dhamana hata ya chet cha form 4 & 6 ,au mashart mengine yasiwe magumu ,naomba anisaidie...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This week, EURUSD assumed one of its strongest movements in recent times. Since December 18, 2017, price has gained 800...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.