Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Zao la bangi limekuwa likilimwa sana Tanzania, na tumeona kwenye vyombo vya habari mara nyingi tu mashamba ya bangi yakiteketezwa. Ni ukweli usiopingika kuwa tumbaku inamadhara makubwa kuliko...
1 Reactions
3 Replies
928 Views
Habari wadau; Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu...
26 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wadau; Kuna biashara nyingi ambazo mtu anaweza kufanya kwa kutumi kompyuta yake.Mojawapo ni biashara kuuza au kutengeneza website. Nimesema kuuza au kutengeneza kwa sababu utaalamu wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini za wakati huu. Mapenzi mubashara ndugu zangu watafutaji/wajasiriamali/wafanyabiashara yasiwe tu kwa wapenzi wetu bali hata sisi watafutaji tupendane sisi kwa sisi hasa kwa kipindi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa. Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe...
9 Reactions
270 Replies
39K Views
Ningependa tu share ujuzi juu ya hii biashara ya uuzaji wa bidhaa na kampuni tajwa apo juu, Je! kuna ukweli wowote na sio utapeli jamani??? Mwenye kitu tafadhali usisite kudondosha apo chini
0 Reactions
150 Replies
38K Views
Habari wadau, Niko napitia gharama za licensing fees pamoja na taratibu.Ninavyoona ni kama vile hii kazi kuwapa halamashauri ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na ni gharama za ziada kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakukaya!. Niliamua kuiupdate whatsapp yangu nikakutana na application ya whatsapp business hii application nilianza isikia muda wakati ilipokuwa kwenye beta stage lakini sikuifatilia...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
A newCanadian cryptocurrency that will be launched on March 1, 2018. Register now and get free 1000 tokens. Each token could be worth a few cents up to about $1 when launched in March which means...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za muda huu. Napenda kuja kwenu kwa mara nyingine tena, baada ya kufanya marekebisho ya mpango wa biashara (business plan) nahitaji mwekezaji ambaye atanipatia mkopo wa $ 332,825 nataka...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
kuna kaka alikuja kutoa shuhuda humu, kuna mwenzetu alimsaidia basi kakimbia, amekula hela pasipo kutekeleza kilichomfanya aombe hela. mm nikaomba hela nifungue kijiwe cha kahawa, ili nikuze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi karibuni kulikuwa na vinywaji vya MO mtaani ambavyo vilikuwa vinafanya vizuri sana sokoni kutokana na ujazo wake mkubwa wa ml 400 kwa kila chupa na kwa bei ile ile ya sh 500 kama vinywaji...
3 Reactions
65 Replies
14K Views
Habari za muda huu. Napenda kuomba kusaidiwa kwa yule mwenye ufahamu au kujua ni wapi naweza kupata muwekezaji mtu binafsi au kampuni. Kwa yule ambaye anaweza kunisaidia nitashukuru sana. Nitaomba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu kuna utafiti nafanya wenye lengo la kufahamu mtizamo wa vijana na nini kifanyike kuhakikisha vijana wengi wanaingia kwenye social entrepreneurship. Nahitaji msaada wa mawazo yenu...
5 Reactions
43 Replies
10K Views
Ikiwa una ujuzi wa fani fulani mfano( Ufundi Umeme, Ufundi Mekanika, Ufundi Bomba n.k). Andiko hili litakufaa namna ambavyo unaweza kushughulikia hali hiyo na kukuwezesha kupata mteja wa kwanza...
4 Reactions
1 Replies
4K Views
MATUKIO @ MICHUZI BLOG: LESENI MADUKA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI KAA LA MOTO *Maduka yamepungua,baadhi ya wamiliki waingia mitini *Kati ya maduka 297 ya awali sasa yamebaki 70,matawi 40 *BoT...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta mkopo jamani one milion ya gafla ntapata wapi !?
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Tafadhali naomba msaada kwawenye uuzoefu au madereva wa malori,nina mzigo nataka kusafirisha kutoka bandarini mpaka Rwanda, ni tani moja na container litafika mwishoni mwa wiki hii. Ningependa...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Khabari wadau, yeyote mweny mchango hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuanzisha kiwanda, unapataje eneo linalotakiwa kisheria kwa ajili ya kiwanda, na je utupaji majitaka kutoka kiwandani (...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Wadau , Nina wazo la kuanzisha ofisi ya wakala wa bima, naombeni kujua vigezo tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom