Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Basi hivi ndio nimeamua kuanza mwaka! -------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Nimepata hili wazo la kuweka akiba kila wiki...
17 Reactions
113 Replies
19K Views
Kuna mambo huwa ni magumu sana kuelewa....Hivi ni rahisi kujenga barabara ya lami kisha kuifanya ni sehemu maalumu ya wafanyabiashara wadogo?. Chakula kinapangwa barabarani....mbele ya macho ya...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
This week's thought revolves about a policy debate on industrialisation. While the ruling party's government, under the leadership of Dr Magufuli, has embarked on industrilisation stratigies...
1 Reactions
2 Replies
587 Views
Watu wengi ambao hawajazama ndani ya biashara wana picha fulani ya kwamba biashara au ujasiriamali ni sehemu bora ya wao kuwepo. Kwa wengine inaweza kuwa sehemu nzuri kuwepo lakini wengi...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kilivyosema . Nina maswali Yangu ambayo naamini wachumi watanijibu kufasaha na nitaelewa ! 1. Kwanini bei ya mafuta inapanda na kushuka ikifika mwishoni...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamvi, Mwaka 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitoa tamko la kusisitiza wafanyabiashara wote wa magari hapa Jijini Dar Kuhamishia shughuli zao rasmi eneo la Kigamboni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Benki ya Equity imezindua huduma ya 'Eazzy Banking' itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya miamala ya fedha popote walipo na wakati wowote. Akizindua huduma hiyo leo jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Habari wanajamvi, Siku za karibuni kulikuwa na mtikisiko wa soko la cyrptocurrency hasa katika coin yao pendwa ya Bitcoin (BTC), kutokana na mtikisiko ule waekezaji wakubwa au makampuni mengi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Last week, this pair rose from the support line at 1.2250 and tested the resistance line at 1.2550 (a movement of 300...
2 Reactions
3 Replies
634 Views
Wateja wangu wanataka maji matamu ( baridi) kisima changu kina maji chumvi, nifanyaje wana jf? Nimeshauriwa niweke dawa ila hizo dawa sizijui.
0 Reactions
50 Replies
28K Views
Nataka kufungua mradi huo,nahitaj mchanganuo na mawazo sana jf
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani wana jamii nini nahitaji kufanya biashara ya saluni ya kike (kutengeneza kucha+kupaka rangi + pamoja na kuweza kope za bandia) lakinini abroad nchi mbili hizi za Zambia[/USER] +Mozambique...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nenda mjini kwenye maduka ya jumla, nunua yeboyebo fasion za kisasa, yebo 1 kwa bei ya jumla utainunua kwa sh elf 2, wewe mtaani kwako utaiuza elf 2500,-ukiuza pea 10 maana yake una faida ya elf...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Wadau habarini za muda huu, naomba mwenye uelewa na madini yafuatayo anipe shule kidogo juu ya aina ya madini, soko lake na bei. Kuna rafiki yangu amepata sehemu yapo lakini hajui yanatumika kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Kuna ambaye amewahi kukopa UTT Microfinance kupitia umiliki wake wa vipande au share alizonazo DSE? Naombeni kufahamu interest yao ni asilimia ngapi Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[emoji777]
1 Reactions
40 Replies
3K Views
For anyone who want to be V-pesa agency and make more money every single day, Please call now on 0718371221 / 0764705712 Paul Alex) au 0684666945 Edwin chapa) or email paulchapa0744@yahoo.com for...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
habar zenu wakuu Kuna kijana katoka kijijin kaja kwangu kwa lengo nimtaftie kazi ila kwa haraka haraka vyuma vimekaza mno so nikaona ni bora nimuwekee hata ki biashara tu kidogo ili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi, ni matumaini yangu mko wazima wa afya mkiendelea na mihagaiko ya kila siku kwa ajili ya kujipatia mkate. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninaomba mwenye uelewa na hawa watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Za asubuhi waungwana, Nadhani wote tunafahamu hizi namba za malipo ambazo tunatumia kuzilipa kampuni mbalimbali, zinakuaga tarakimu sita kama sikosei. Mfano kwa wale wanaobet, Premier Betting ni...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Back
Top Bottom