Hivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela???? Kampumi gani ina print hela? Na wanafuata principles zipi,??? Kuna uhusiamo gani kati ya b.o.t na hao wanaoprint hela?
Habari wadau,
Nimepata fursa ya kupeleka USA baadhi ya bidhaa ambazo ni Matembele, Mchunga, Mbegu za mronge na Shanga za kimasai. Hivyo naomba kujua procedures za kufuata ili niweze kusafirisha...
Hi wanabodi,
Kipi kinamfaa mstaaf wa kitz afanye ili asitegemee watu kumsaidia,
Nina mstaafu, kaanzisha biashara mara tatu kashindwa, nilimtrain awe na consistency ktk biashara, lakini kashindwa...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The market is bearish, and the bearishness has been in place since February 16. Last week, price moved briefly below...
Wakuu heshima kwenu. Kwa yeyote anaejua utaratibu wa kubadilisha pesa chakavu (sio wale wanaonunua mtaani) naomba kujuzwa tafadhali.
a) niende wapi?
b) kuna kiasi cha kuanzia?
c) ziwe katika...
Ndugu wana JF,
Mimi ni mtanzania ninaye tafuta fursa za kibiashara nje ya Tanzania.. Hususani nchi ya zilizoko ndani ya africa..
Tafadhali. Kama wewe unauzoefu wa biasha nje ya tanzania...
Wadau nimekuja na wazo la kuanzisha mobile toilets pembezoni mwa barabara zenye foleni sana hapa Dar maana nimefanya uchunguzi nimegundua kuna uhitaji mkubwa. Hasa mida ya jioni kuanzia saa 9 k...
Heshima kwenu wakuu,
Mwenye uzoefu na biashara ya kuagiza mchele kutoka kwa wakulima huko Mbeya na kuusafirisha kuuleta hadi Dar.
Naomba uzoefu na msaada wenu hapa.
WHY ONLY SORBONNE-EDUCATED, LITERATURE PH.D.S SHOULD CUT YOUR HAIR
You get a haircut every few weeks. Everyone does. Men, women, children. Even balding men need a trim occasionally (as I’m...
Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
The market has been showing weakness since last week (price dropped more than 1200 pips last week alone). A bullish attempt was made on February 26, but...
“ Serikali inafikiria kuweka akiba yake Benki Kuu kwa kutumia madini ya Tanzanite.”
Hayo ni maneno ya Waziri mwenye dhamana ya fedha Dkt Philipo Isdor Mpango aliyoyatoa Novemba 2016, ikiwa ni...
Wakuu naomba kufahamishwa utaratibu kuwa kuanzisha na kusajili saccos ama kikoba..
Kwa maana ya idadi ya wanachama na vigezo muhimu vinavyozingatiwa kupata usajili.
Naomba kuwasilisha..
Waungwana habari za jumapili? Wakati flani nilipotembea hapo DSM nilishingazwa nilipokutana mtaani na jamaa ambaye alijivalia vizuri huku akiwa na kipaza sauti akitangaza kuwa yeye ana nunua Fedha...
KWA SHUGHULI NDOGO NDOGO NA VIKAO AWIMO BAR AND GUEST HOUSE INATOA UKUMBI, MUZIKI PAMOJA NA COCKTAILS BUREEE KABISA, NA ENDAPO NI SHUGHULI IHUSISHAYO WAPENDANAO kama Engagement tutawapatia zawadi...
Leo nimependelea kushilikiana nanyi elimu hii ya ujasiliamali,karibuni kuchangia zaidi ili tupeane ujuzi zaidi;
Mjasiliamali
- ni mtu anayeiona fursa na kuifanyia kazi,
Ujasiliamili
- ni yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.