Unakuta anajileta mpiga picha anapiga picha watu atakavyo yeye na kwenda kuzisafisha kisha kuziuza. Sio zote zinanunuliwa ma wahusika. Je hatuoni ni hatari picha yako kubaki na huyo mpiga picha...
Habar wana JF,
Naomba kufahamishwa taratibu za kuwa wakala wa bima.
---Kiwango cha chini cha mtaji(pesa) cha kuanzia,
---Taratibu za usajili wa biashara
---N.k
___MAKOSA KATIKA PESA__
[emoji383]MONEY MISTAKE 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
Habari zenu wadau, hope mko mnaendelea vizuri ktk shughuli zenu za kiuchumi.
Mimi ninaomba kuuliza kwa anayefahamu ivi kwa banks zetu apa TZ, zipi zinatoa huduma nzuri ya kufanya payments online...
Siandiki kwa maslahi yoyote zaidi ya kuwa mdau wa usafiri hasa kanda ya ziwa na nimeshasafiri mara mbili na basi la Super Sami na kushuhudia jinsi huduma zake zilivyo mbovu
Ukienda kufanya...
Wadau najiuliza hii reli mpya ya kisasa inajengwa kwenye tuta lile la zamani au kuna tuta lake pembeni?
Sijaona picha yoyote ya ujenzi huo naomba aliyenayo atuwekee hapa.
Heshma kwenu wanajukwaa! Napenda kuwapongeza kwa mchango wenu mkubwa, hakika hapa ni supermarket ya mambo yote yahusuyo Biashara. Naomba kufahamishwa njia Za kufuata kusajili Micro Credit
Habari;
Kama kichwa kilivyo hapo juu nina shamba langu lina ukubwa wa heka 50 naweza pata mkopo benki? Je ni benki gani ina riba nafuu, Je kikomo cha kukopa kwa ukubwa huo ni kiasi gani?
Watu wengi tumekuwa tunajiuliza kwamba Idea au wazo ni kitu gani? na kwa nini Idea?
-IDEA ni kitu unacho kiamini na sio kitu unacho kifikiria au kukiwaza.
KUAMINI kuna nguvu sana kuliko...
Habar za cku ya Leo ,
Kama nilivoeleza apo kuwa nahitaji kufungua mwalo ya kuzalisha udongo wa dhahabu unaotokana na mawe ya dhahabu yaliyo sagwa na kuoshwa ili baadae niweze kuuza huo udongo kwa...
Mfano, Mtu akiwa na duka la mangi, salon, na mgahawa maeneo tofauti, anapokadiriwa kodi yanaangaliwa mauzo katika biashara zote au kila biashara inakadiriwa kodi kivyake?
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa.Wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai...
Baada ya kauli iliyotolewa na rais JPM wakati akizindua kiwanda cha mafuta huko shinyanga kuwa ataongeza kodi kwenye bidhaa za mafuta zinazoingizwa nchini kutoka nje,bei ya mafuta yanaozalishwa...
Private sector inajiendesha bila kutumia kodi wala kupata ruzuku, ukifilisika umefilisika ndio maana hata wasomi wetu wengi hawapendi kujiajiri wenyewe wako tayari waajiriwe hata kwa ujira mdogo...
Wakuu heshima kwenu,
Ninataka kujua hii taasisi ni ya nini na inahusu nini hasa, Jirani yangu alijiunga na mfuko huo bila kuelewa kwa miaka zaidi ya kumi sasa wakawa wanamkata 24000 kwa mwezi...
Habari wadau. Natumaini ni wazima. Naomba kupata ifahamu toka kwenu kwamba ni vigezo gani au biashara gani zinazotakiwa kulipia TFDA kwani tulizoe kwamba wanaolipia hicho kitu ni wale wanaouza...
1. Kununua Mashine za kukoroga
zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata
vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/
Database: Katika Halmashauri...
Habari zenu wadau wa jf.
Mimi ni kijana umri miaka 25, nipo Dar es salaam. Nimepata wazo la kuanza kusambaza kwa reja reja mitaani maziwa ya ng'ombe ya fresh na mtindi yanayotengenezwa viwandani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.