Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Things I’ve Learned from Rich People 1) Delay Gratification I talk about it all the time. In order to accumulate wealth, you need to learn how to delay gratification. You can’t afford to be...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kweli mtaji ni serious problem world wide. Wadau hivi itakuwaje endapo vijana kama kumi mukaungana na kuamua kujitoa sadaka( risk taking) kwa pamoja na kuamua kila mmoja atoe 500,000/=...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu habari yenu! Kwanza niseme sijaanzisha huu Uzi kwa lengo La kupromote au kuponda biashara ya MTU. Mimi binafsi nahitaji kujua Yale ambayo siyajui kama tujuavyo JF ni pana na ina kila aina...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
A TRUE LIFE STORY OF A VETERAN TRADER We were in a midst of a popular monthly traders’ forum when an elderly man on a wheelchair was helped into the hall. The moderator asked us to stand up...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Kwangu kilimo sio kujikimu, sio kulima kwaajili ya kula hiyo walishafanya ma babu zetu sasa hv tunazungumzia kilimo biashara maana yake pana mambo makubwa matatu. 1.) Mtaji 2.) Bidhaa na 3.)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf,nimebahatika kupata million 80.Naomba msaada wa biashara gani nifanye ili nisiwe tena Maskini.
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral The market is generally, neutral. It initially made bullish effort last week, reaching the resistance line at 1.2400...
2 Reactions
3 Replies
729 Views
Habari,kuna wazo LA Biashara kuhusu mambo ya manunuzi ya mtandaoni linahitaji muwekezaji ili likamilike. Ndiyo kuna mawazo kama haya hapa nchini ila hili limejitofautisha kipekee...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
As the above heading I have a strong yielding idea. About internet innovation... The more you invest it, the more you get mult money. The price is 1 million. Private message me or call 0713774746
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona hii video ya tangazo la Vodacom 4G lililotoka mwaka huu limefanana kila kitu na tangazo la Vodafone India 3G la mwaka 2014. Hii yote inatokana na kampuni kutumia creative directors wageni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari waungwana wa JF. Naomba kwa mwenye uwelewa na kuweza kubisaidia kwa nia safi anisaidie ili niweze kujikwamua. Mimi ni mfanyabishara mdogo najishuhulisha na nguo za akina mama na watoto...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habar wadau, Napenda kupata ushauri juu ya ujenzi.je ni vitu gan na muhimu vya kuangalia ukitaka kujenga? Je kati ya tofali za kuchoma na tofali za BLOCK zipi ni bora zaidi? Nataka kujenga...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wana JF kuna nchi kadhaa nimepata connection ya uhitaji wa korosho zilizobanguliwa tayari kwa matumizi ya binadamu Lakini kikwazo ni kwamba sijajua utaratibu wa kuuza bidhaa hiyo ktk soko...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Usiruhusu orodha hii kukuogopesha. Hatua ya kwanza ya kuwa na mafanikio ni kuelewa ujuzi gani unao na ambao unakosa. Stadi hizi zote unaweza kujifunza, kwa hivyo ukitambua unakosa...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
*TODAY TRAINING* *-hellow traders/investors kwa sku ya leo nitakuja kuelezea kwa ufupi juu ya mada yetu ya jana kwa faida ya yule ambae alikua hajui* *‍COIN MARKETCAP... (coin market...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*HOW TO MAKE MONEY WITH CRYPTOCURRENCY/WAYS TO MAKE MONEY WITH CRYPTO??* -cryotocurency kuna pesa nzuri tu na unaweza kuacha kazi zako zote na ukadeal na crypto and ikaendesha maisha yako na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana wajasiriamali natoa elimu jinsi ya kuwekeza na kutumia platform ambazo zinahusika na digital currency (cryto currency) example Bitcoin, Etherium, Bitcoin cash,Ripple, Verge,Cardano na...
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Habari wakuu... Nna wazo la kufanya biashara ya kuuza sabuni za maji za usafi/chooni na za kufulia(za maji pia) so natafuta wilaya ambayo haina kabisa hizi bidhaa ili niwekeze huko. Am ready to...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Back
Top Bottom