Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba tushauriane wana jf mana hapa Niko njia panda
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi.. Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani. Ombi langu ni ushauri je naweza...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wanaJFrm... Tupeane madini hapa. Ni Misingi gani unaweza mpatia kijana mwenye KIU ya kuingia katika safari ya Ujasiliamari na apate kufanikiwa.
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Hbr Wana jamvii. Nimesikia takwimu za wafanyabiashara wa kariakoo wakilalamika hali ya biashara kuwa ngumu... last time niliskia biashara 800 zimefungwa na wkt huo huo zikafunguliwa biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za saa wajasiriamali wenzangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea. Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, naomba kujua kama kuna gharama za ziada mbali na zinazoonekana kwenye calculator ya TRA na ile uliyolipa kwa muuzaji hadi gari kuingia barabarani. Ahsante!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Utengenezaji na uuzaji wa chapati hasa mida ya jioni ni biashara inayokua kwa kasi. Muda si mrefu biashara hii itaipiku biashara ya kukaangiza chips.
7 Reactions
45 Replies
20K Views
Habari Wakuu, Kwanza Napenda Kutoa Shukrani Za Dhati Kwa Watu Mbalimbali Wanaotoa Michango Yao Juu Ya Vitu Mbalimbali Hapa Jf Kwangu Mimi Jf Nin Zaidi Ya Ndugu. Baada Ya Kukaa Mtaani Na Kupigika...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello wakuu, naomba kujua habari za visiwa vya commoro, kibiashara zaidi na maisha ya huko kwa ujumla, na je kuna watanzania wanapeleka biashara yoyote huko, karibuni.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market is bearish in the short-term. Since testing the resistance line at 1.2550 on February 16, price has gone...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya, napenda leo nichangie ujuzi wangu kama mjuzi wa elimu ya ujasiriamali, Nimekuwa nikiona post mbali mbali za watu ambao wamekuwa wakiweka mawazo...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habar za humu wakuu ,,, Mimi mwenyez mungu akipenda nakusudia kujihusisha katika biashara ya Mihogo Ninaomba wale wazoefu wanipe muongozo ...masoko yanapatikanaje na kipi n bora kuuza mwenyew...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari yako; Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na jambo hili nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka, riba nafuu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 elimu yangu kidato cha 4 katika harakati zangu za utafutaji wa pesa nimefanikiwa kuanzisha duka. Kiukweli mwanzo kipindi naanza hali...
19 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari wanajamvi,ivi ni bank gan au shirika gan naweza pata mkopo wa bajaji ukiachilia NMB hii huduma wamesitisha kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Services, not manufacturing, will be the growth sector for Africa, says Stiglitz Who Said What is a new interactive tool designed by ACET to generate discussion on major economic transformation...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Kweli haya ndiyo yanayotukabili?!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kichwa cha habari chausika, Mm nimjasilia Mali Mdogo nawaza kupanua soko LA bidhaa za nafaka,dagaa na mbogamboga kwenda nje hususana USA na CHI ZA ULAYA. Naomba kujuzwa taraibu na mambo gani...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Hello wakuu, Coin ya 50 ya kingdom of Bahrain inaweza kuchenjika?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wapendwa wangu, Nina mpango wa kuanzisha shule ya awali kuanzia miaka 2 mpaka 5 maeneo ya Tabata.. Naomba kufahamu changamoto, faida na mchanganuo wa gharama ya kufanya hii biashara..Mimi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom