Wana JF wa uwanja huu naomba msaada kidogo kwa wenye kuelewa wanisaidie
Kwa mfano nataka kufungua biashara yangu kitu muhimu kwenye biashara ni Leseni ya Biashara.
Lakini naomba kujua je ni...
Kuwa makini sana na hawa watu wanaojiita Focus bikoba,ni matapeli sana na wanatoa matangazo kuwa wanakopesha ukiwafatilia wanakudanganya unatuma hela ili wakusajili alafu wanakugeuka,watu wengi...
A newCanadian cryptocurrency that will be launched on March 1, 2018. Register now and get free 1000 tokens. Each token could be worth a few cents up to about $1 when launched in March which means...
Kutoa ni moyo na siyo utajiri kijana mwenzetu ameliona hili kua mwaka ndio kwanza unaanza.Ni bora kupambana mapema kabisa ju ya kesho yako ya mafanikio. Na katika maisha kushikwa mkono imo tena na...
University is supposed to be the best time of your life - you have the chance to broaden your horizons and bolster your chance at a better life. The reality is that most poor students are facing...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold is bearish in the short-term, and bullish in the long-term. The second half of December 2017 was very bullish, and the bullishness continued last...
leo thamani yake imeporomoka balaa....yaani jana rate yake kati ya tshs na bitcoin ilikuwa 1 bitcoin= 21 tshs milions na ushee hv ...ila leo thamani yake ni 1 bitcoin= tsh 15,990,501 ni anguko...
Habari zenu wakuu,
Kijana wenu kuna fursa ya kupiga pesa "ndefu" nimeiona huko kwa wenzetu a.k.a "ng`ambo". Katika mtiririko wa "kujaza makaratasi" nikajikuta naangukia suala la kuthibitisha...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair is bearish in the short-term, for price went southwards throughout last week, moving downwards from the...
Habari wadau;
Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu...
Habari wana-jukwaa?
Kumekua na ongezeko kubwa la mabenk ktk kipindi cha karibuni. Kila mteja amevutiwa na baadhi ya huduma na kuamua kujiunga na bank inayomuhudumia.
Binafsi naipenda CRDB...
Habari wanaJF.
Mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji mkopo kutoka kwa mtu binafsi anayekopesha kwa riba.Sihitaji pesa nyingi sana.
Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anipm.Nina shida msaada...
Habari
Kama unapesa na hujui ufanye biashara gani au uko busy sana lakini unamtaji na upo dsm naomba ni pm, biashara nishaifanyia utafiti, pm nikueleze aina ya biashara kama utakuwa tayari...
Wiki hii nilibatika kufanya interview na Kijana mdogo anayejulikana kwa jina la Ally Chiwaga ni mkazi wa hapa Dar es Salaam..
Kijana huyu kwa wiki anaingiza elfu 70 kwa Biashara ya Karanga...
Habari wana jukwaa wenzangu,
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi...
Wakuu uwa najiuliza kwanini hii nguvu ya kutuamasisha tucheze biko tatu mzuka na mechezo mingine mingi ingeamishiwa kwenye mambo ya msingi kama kilimo biashara na mengine mengi na ukakika kwa...
Habari za weekend!
Nipo hapa napata bia huku nikitafakari sana!
Nina maswali yananiijia kichwani sipati majibu; naombeni wataalamu mnitoe tongo tongo hapa!
1. Hivi kama serikali kuna wakati huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.