Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana jukwaa hili pendwa, Nimekuja tushare mbinu mbalimbali za kupata mitaji ya kufanyia biashara mbalimbali Wengi wetu tumekua tukihaha kutafuta mitaji ya kufanyia biashara na ujasiriamali...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
geita gold mine Geita greenstone belt has been the most productive in Tanzania with continuous history for both small and larger Gold exploration and mining since 1900 to the present. A German...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi, Ni matumaini yangu nyote mmeamka salama. Bila kuwachosha ningependa kuomba msaada kwa mtu yoyote anayefahamu sehemu ambayo wananunua na kuuza vitu used vya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutana na mjasiriamali kutoka Tanzania ambae ana andaa mbegu zake maabara na kuziuza kwa wakulima tofauti. Kuna mengi ya kujifunza kupitia mjasiriamali huyu. Ni imani yangu kwamba tutajifunza...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Why Business Plans Fail Investors have become even shrewder and are far more discerning in selecting only ventures with attainable revenue models, real competitive barriers to entry, and strong...
1 Reactions
8 Replies
978 Views
Nawaasa TRA kuwa kufungia biashara endelevu kwa kisa cha kukusanya malimbikizo yakodi ni mbinu ya kizamani. Badilikeni. Mna wahasibu wengi tu. Kama mnaidai kampuni na bado inaendelea na biashara...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili suala la ukaguzi wa maduka kubaini wasio na lesseni, vyeti vya afya, chombo cha kuwekea uchafu n.k. ni deal na maofisa wa serikali wananemeekea huko. Anakuja mtu mmoja huyo huyo afisa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market consolidated last week, and made some bullish effort on Thursday and Friday (in the context of a downtrend)...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
WanaJamii, Kama mlivyosoma hapo juu,tunawaletea zygoInc website. Zygo inc ni nini? ZygoInc ni website ambayo itakuwezesha kutafuta pahala au sehemu yoyote ndani ya mkoa wa Dar na mikoa...
1 Reactions
3 Replies
710 Views
Wakuu poleni sana majukumu. Mimi n kijana mwenye umri wa miaka 28, ninamika mi3 tangu nimemaliza masomo yangu ya elimu yajuu, nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio. Nimekutana nakina...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau, Nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kwa njia ya simu, bahati mbaya pesa sikuipata. Nilianza kufuatilia kwa kupiga simu NBC baada ya siku moja. Majibu ni kuwa pesa yako itarudi ndani ya saa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Why people do well academically in schools do not always do well financially in the real world?Funguka
0 Reactions
27 Replies
3K Views
(Makala ifuatayo inapatikana pia kwenye tovuti ifuatayo ya : Uwekezaji Tanzania) Kuanzisha biashara kunahitaji kupanga mipango,kufanya maamuzi ya kifedha na kutimiza taratibu kadhaa za...
2 Reactions
3 Replies
8K Views
Sijawahi kunyooka kama leo wakuu. Hali yangu si nzuri kabisa yaani nimeishiwa vibaya mno. Hapa nilipo sina hata senti mambo yameniendea kombo Kila kitu kimeisha hapa wakuu Naombeni mnisaidie hata...
12 Reactions
117 Replies
12K Views
Takwimu za kiuchumi zinaonesha kwamba 28.2% ya Watanzania ni maskini hasa wa vijijini ambao ni 75% ya hao (au 21.2% ya Watanzania). Ili kuendelea kupambana na changamoto hizo za kiuchumi, Ilani ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hii JF, Naombeni msaada wenu, Nimeshindwa kulinda biashara yangu kutokana na kuugua hapo awali, nilikuwa na Duka lenye thamani ya sh.ml.5 nilikuwa nauza vinywaji baridi, biscuits, juice, bites...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari Wanajukwaa! Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market went sideways from Monday to Wednesday and moved further south on Friday (in the context of a downtrend). The...
2 Reactions
7 Replies
657 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…