Wakubwa shikamoooooo !!, wa rika langu habari za jioni ??, ninaowazidi marhaba wakuu ni kwamba nimenunua kiwanja kama nusu ekari karibu na hospitali ya mkoa huko kwetu Njombe, Sasa nipeni ushauri...
Wadau hivi inawezekana kupata mkopo kwenye mabenki esp. NMB na CRDB kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati? ila hiyo nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa na kina offer/leseni ya kiwanja.
Msaada kwa...
Pyramid schemes might not be quite as old as the pyramids themselves, but they’ve been around for a long time.
Most people know the telltale signs — promises of fast money, pressure to recruit...
REFA AKITOA KADI ANAANDIKA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU ILA WEWE NA MIMI TUKITO Pesa TUNAANDIKA KICHWANI..
Hapa leo ngoja tuchanane ukweli, Wengi wetu hatuna utamaduni wa Kurecord kiasi cha Fedha...
Habari za mda huu wana jamii
kwa wenye ujuzi nini kina happen bongoland kwetu au kwa obama maana si kuporomoka uku kwa Tsh. dhidi ya dolari ndani ya siku 2 izi
1 dolari yaelekea 2500 TSh. kwa...
Wanajanvi nashida na hizo PS mwenye kufahamu mahali au sehem zinako patikana kwa dar au sehemu yoyote amboyo usafiri hausumbui naomba tuwasiliane kwa Whatsup no.0621706889
Uk independent exploration and production company (Aminex) the operator has applied for 25 years development license of Notary field, Ruvuma basin in Tanzania.
The development plan involves...
Kamishna wa kodi za ndani wa TRA,Ndg.Elijah Mwandumbya aamua kupigania maslahi ya wasanii wa taifa kwa ujumla kwa kuzuia ulanguzi wa kazi za wasanii unaopelekea serikali kupoteza mapato kwa...
Ndugu zangu awali ya yote natanguliza tena msamaha kwenu iwapo nitakuwa nimefanya kosa lolote ktk kuumba huu uzi wangu aidha kama nimepost ktk ukumbi ambao sio wake au kama nimeurudia baada ya...
Tunaweza kutumia utajiri wa madini kuleta uchumi wa viwanda?
Angalia kinachotokea katika nchi zenye utajiri wa mafuta!
Petrol-producing countries
Oil-rich countries saw similar failures in their...
Uchumi wetu upo kwenye hatua ipi?Recovering,Recession,Peak ama Depression?
Leo humu mtandaoni nimeona matangazo ya kampuni moja kubwa ya simenti na benki moja zikitangaza hasara huku jana...
Habari wana Jukwaa,
Kama kichwa cha habari hapo juu,
Siku chache zilizo pita Dar kulikuwa na mvua za hapa na pale, kwenye pita pita zangu nikakutana na muuza makoti ya mtumba, nikalipenda moja...
[emoji144][emoji404][emoji383]⚙[emoji144][emoji404]
KUFANIKIWA KATIKA MAISHA SIO ELIMU TU, BALI NA UJASIRI WA KUJIAMINI NA KUTHUBUTU!
[emoji116][emoji116][emoji116]
Ukichunguza katika jamii...
Katika jiji kama hili la DSM nashangaa sana kuona bado hatujaweza kuwa na mfumo wa kuwa na maduka yetu kufanyakazi hadi angalau saa 4 usiku. Inakuwaje main shoping area inayojulikana sana hata...
Op Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017
Mm ni kijana wa kiume, umri wangu ni late 20s naish Dar es salaam, mm ni mhitimu chuo fulani nchin...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold is a choppy market, though movement has generally been bearish. Last month, price went upward to test the resistance level at 1305.78, before dropping...
Habari, wana JamiiForums,
Naomba wataalamu wanisaidie, mawazo, natakana kusuplly wi-fi, katika eneo lenyemsongamano mkubwa wa watu, hasa wanafunzi.
Lengo kuu ni biashara, mfumo nataka uwe hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.