Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

I don't know how to say b'se most of people. We struggle for poverty or financial problems b'se of ignorance and fear not the economy or government or other reason.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale wadau. Leo nimewaletea fursa niliyoiona nataka tushirikishane ideas. Iko wazi sasa hivi kuwa biashara ya mazao nchini imekua mbaya hii nikutokana na masoko ya...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
Hatua ya kuamua kuingia katika biashara Kuamua kuingia katika biashara ni majumuisho ya utayari wa kisaikolojia, kiakili, kiuchumi na kukabiliana na hatari au vitisho vyote vitakavyojitokeza...
4 Reactions
14 Replies
10K Views
Naomba ushauri nataka kwenda mozambique au DRC congo kuanza biashara ya ununuzi wa madini na kuuza. Mtaji wangu ni USD $1000
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Je kuna mtu yoyote anaeweza kunisaidia kuhusu kampun yoyote iliyoko tanzania inayojihusisha na utengenezaji na uuzaj wa mabus makubwa kwa hapa tanzania. Nnataka nifanye tathmin either kuimport au...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biash ara imeyumba...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi kuwa, bei za mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa zimepanda kuanzia Novemba Mosi, 2017. Chanzo gazeti la Mwananchi: Bei za petroli, dizeli na mafuta ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
The number of Tanzania’s centi-millionaires continues to grow substantially as economic growth in the country outstrips that of other countries in the East African region. Apart from the easily...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila ninapohamisha fedha toka bank kwa njia ya simu ni lazima niwe na salio la kawaida kwenye simu, tatizo ni pale ninaporuhusu kukatwa salio la kawaida ili muamala ukamilike salio linakatwa...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Hivi kwa wale wenye ujuzi naomba kueleweshwa faida na hasara za kuregister biashara Brela kama partnership ama company. Ni vitu gani hasa inatakiwa kuviangalia (kodi? capital? aina ya...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Mwenye balance sheet ya ATC ya mwaka ajana ialete tuone matumizi na mapato yao
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi cha laki 3 nina shida ya dharura naomba anisaidie. Napatikana arusha. Asante
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Salamu,naomba kujua kuhusu biashara ya vifaa simu ...chaja,earphone ,pbank,nk .Bei na upatikanaje wake. Nataka kufanya biashara na wanachuo.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Bila shaka neno uchumi limebeba maana nzito yenye tafsiri rahisi katika maisha ya watu. Porojo za takwimu za mtakwimu Mkuu huwenda ni sehemu ya maana lakini tafsiri itabaki kwa Umma. Tumeanza na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimeamua kujikita katika biashara ya mboga mboga kama vile pilipili hoho, karoti na mboga za majani etc. Ningefurahi sana kufanya biashara na soko la Ulaya. Natambua kua soko la ulaya linahitaji...
0 Reactions
79 Replies
39K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market consolidated from Monday to Wednesday and then dropped sharply on Thursday and Friday. There is a Bearish...
1 Reactions
1 Replies
725 Views
Habari wakuu, Ninataka kuuza biadhaa yangu(machine ya umwagiliaji) yenye thamani ya Tsh 3 millions.Sasa makubaliano yetu ni kwamba watanilipa pesa nusu na nyingine watamalizia kulingana na muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haki mmelogwa..juzi nlizungumzia QNET haya nasikia kuna hawa wengine soma vile wanajitambulisha Questra Holdings ni kampuni ya Uwekezaji. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2009 ikijulikana kama SFG...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kilimo/ufugaji Mende kina soko kubwa sana nchini China. Sisi huku mende si tunawaua? Kazi Ni kwako katika kutumbua jipu la umasikini. ====== Wapo wafugaji nchini China wanajikita na ufugaji wa...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Back
Top Bottom