Wakuu habari za muda huu.
Nakuja mbele yenu na mambo kadhaa ambayo naomba mwenye kujua chochote juu yake anijuze.
Hivi, wachoraji wa picha za tingatinga zile rangi wanazotumia ni rangi za aina...
Habari za jumapili, poleni na kazi za wiki nzima. Nataka kuanzishaa biashara ya kuuza mayai ya kienyeje yale local kbss yani kiini cha njanoo na sio chotaraa. Naombeni ushauri ni wapi naweza pata...
Habari wanajamii forum..
Naomba kufahamishwa..
Nataka kuagiza basi aina ya Youtong kutoka china,,,
Nataka kujua kuhusu
1..bei
2..ghalama za usafirishaji
3..kodi kwa hapa Tz
4.. Na ghalama...
Waungwana poleni na majukumu!,nakusudia kuanza harakati naomba tujulishane nani amewahi kupata mtaji kamili au kuongezewa mtaji na taasisi ya fedha kupitia 'Business Plan' yake au ndo zimebakia...
AngloGold, African Barrick in Talks on Tanzanian Tax Refunds
2011-04-26
By David Malingha Doya
April 26 (Bloomberg) -- AngloGold Ashanti Ltd., African Barrick Gold Ltd. and other miners of...
Wapenzi wana jf hamjambo?
Nimekuwa nikitamani kufanya biashara za kijasiria mali na mda mwingi mimetamani kujua haya kama mada tajwa hapo juu.
A. SOKO LA SUNGURA.
Hii inamaama kuwa nataka kufuga...
Ni Kwa muda sasa nimekuwa nikiifuatilia hii biashara ambayo si maarufu hapa nchini kwetu Tanzania .Biashara hii imejikita katika ukusanyaji na uuzaji wa kazi mbalimbali za zanaa za ubunifu mfano ...
If you’re one of the many business owners spinning numerous plates and tackling everything that needs doing single-handed, or indeed if you’re a consultant helping said business owners in areas...
Salute comrades,
Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye...
Salaam wakuu.
Nimevutiwa na taarifa niliyoisoma kwamba kampuni Fulani inayojihusisha na michezo ya kubahatisha imelipa bilioni mia mbili na milioni mia moja kama kodi kwa kile walichoingiza mwezi...
SIYO KILA MWENDAWAZIMU NI MWENDAWAZIMU !!
Palikua na mfalme na mwendawazimu ambao walikutana makaburini.
Mfalme: imekuaje wewe unaishi makaburi siku zote?! Na hutaki kuondoka mahala hapa...
Bitcoin imepanda sana wiki hii. Leo imefika 2850.01usd
update: Leo August 13 bicoin imefika $4145
kweli natamani mifumo yetu ingekubali matumizi ya fedha hizi za kimtandao na kusaidia kuepusha...
Kwanza napenda ku "declare interest". Kama kuna ex-diaspora basi mimi nime qualify.
"Opportunity is rare, grab it when it appears".
Hivi karibuni tulianzisha mjadala wa tulioupa kichwa cha...
Dear wana jamii forum,
Naitaji kufanya biashara ya mkaa bora( biomass briquette). Nimefanya uchunguzi nikaambiwa kuna kiwanda kipo tanga kinatengeneza kwa wingi, tatizo sijajua kipo tanga sehemu...
Wapendwa mm ni kijana nilihetimu chuo na kwa sasa kama mnavyojua ajira zinasumbua sana nimekuja na wazo moja la kufanya biashara ingawa sina uzoefu na biashara.
Naomba ushauri wenu naitaji kufanya...
Wana jukwaa ninasikitishwa sana na bei ya kahawa nchini kwetu ukilinganisha na wenzetu wa Uganda ukizingatia kwamba wao ni lazima waipitishe nchini kwetu kkabla ya kwenda kwenye soko la dunia...
wakuu habari, ninampango wa kufungua shule ya awali au kwa jina lingine ni chekechea, lakini itakuwa na mfumo wa English medium na pia nitaweka day care. ombi language Kwenu kama kuna mtu mwenye...
Habari zenu wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nisiye na ajira ila nimepanga kuanzisha biashara nahitaji mkopo wa 2 million ni taasisi gani riba zao ni nafuu msaada...
Habari zenu wadau?
Mimi ni mjasiliamali naishi Singida.
Natafuta mtu mwenye stationary au aliefunga biashara hiyo ila ana mashine ya kutolea copy ya ziada au haitumi.
Nahitaji kukodisha au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.