Salaam wakuu,
Siku chache tu zilizopita, nilihamisha makazi yangu kutoka Sinza na kuhamia Magomeni Makanya.
Hapa pana shida ya maji sana. Sasa kuna kijana mmoja wa Kisukuma almaharufu kwa jina...
Eidha ukubali au ukatae hiyo ni juu yako na hakuna atakaekuladhimisha juu ya hilo, ila kimsingi maisha mtaani tangia utawala huu wa hawamu ya 5 uingie ni sawa na kukamua jiwe ukitegeme jiwe hilo...
Habari wajasiriamali wenzangu.
Naomba sana kuna hicho kitabu nimeweka cover picha yake hapo chini naomba kwa yeyote ambae ataweza kukipata basi sio vibaya na hatapungukiwa na chochote kama...
Hii ni moja ya nukuu iliyonigusa kwenye hotuba ya Rais Magufuli ya leo 23/10/2017. Naomba tujadiliane namna ya kutumia huu mtaji tulionao, mtaji wa kuwa wazaliwa wa Tanzania. Kama kuna vikwazo...
Nina kiwanja nimenunua milion 4 na katika mauziano hayo tulifanya katika maandishi na pia tukaenda serikali ya mtaa tukajaza fomu inayoashiria mm ndo muhusika , sasa wakuu ikabidi nianze ujenzi...
Za mchana huu wadau..pamoja na sifa walizonazo lakini pia Mna sifa ya wizi kwa Wateja wenu
Kisa ni hiki; asubuhi kaja mteja dukani kwangu akataka nimuweke vocha na nimuunganishie...
Hakuna kazi kubwa duniani kama kufikiri kutokana na ugumu wa kazi hii watu wachache hutumia brain zao kufikiri kwa niaba ya watu wengine. The Nobel Prize winning physcist Albert Eastern.The best...
Habari ya Mchana huu wadau. Naomba Niende moja kwa moja Kwenye hoja
Mimi Napenda kujifunza namna ya kuandaa mihuri yaani uchapaji kwa mfano kama vile Kwenye tshet za shule au vikundi mbali...
Kama uasherehe za kiislamu zinazo husiana na
KUMTOA MTOTO
HARUSI
KITCHEN MADA
NADHIRI
HAKIKA
ARUBAINI YA MTOTO
Madrasa hii inafanya vizur kabisa katika maadili ya dini ni madrasat da-awat ssayf...
Wakuu poleni na majukumu
Mi nikijana ambae nataka kujiajiri sasa napata tatizo kidogo, nimeweza kuanzisha website yangu
na pages kadhaa tayari kwaajili ya advertisements sasa nimefika kati kati...
Wadau amani kwenu, nimekuwa nina ndoto ya kufungua kampuni ya consultancy, nimepitia website ya BRELA, lakini naomba uzoefu kwa wale waliofanikiwa hasa kuhusu mtaji, maana hii ndio changamoto...
Nimeichukua mahali, Inaweza kukusaidia,
Ushawahi kuwaza kwanini kuna watu maisha yetu daily yanakua yanasukumwa na Mikopo? Ni kwa sababu tunakopa kununua vitu ambavyo baada ya muda wa mkopo na...
Ndugu wanajamvi naomben msaada wa maelezo kuhusiana na UTT
Nilinunuaga units 100 mwaka 2005 walipokuwa wanazitangaza by then I was a student in kilimanjaro nikasuggest badala ya Kuwa napewa pesa...
Kwa wanachama wa NSSF, hakikisha unakwenda sambamba na mwajiri wako kwa michango yako ya kila mwezi' kwa kufuata utaratibu
huu hapa chini:
KUJUA KIASI ULICHO CHANGIA KWA WANACHAMA wa NSSF:
Fuata...
Wakuu jamvini nataka kupiga hatua kwenye hii biashara yangu ya kuuza maziwa fresh, kwa kuanzisha kiwanda kidogo cha kuyapack kwenye vigaloni vya lita tano na packing ndogondogo za kupreserve kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.