Habari zenu wakuu,
Kuna mzigo nahitaji kusafirisha South Africa, nilikuwa naomba kuuliza kama kuna basi ambalo linafanya safari za Zimbabwe au nchi nyingine jirani na SA kisha mzigo ukifika...
Popular California Based E-Commerce Website StatesDuka Makes Its Debut in Kenya & East African Market
USA to Kenya, Tanzania & East Africa Online Shopping and Shipping for $15 per KG by Air...
TBL Batch yenu ya tarehe 21 September, 2017 kwenye saa 4.13 hivi ina bia yenye ladha ya Apple nhisi ni Reds. Mnatuharibia kwakweli, hii ni bia ya Tatu wiki hii naikuta.
Kakagueni niko Mbezi...
Maisha ya mafanikio na uhuru wa fedha ni jambo linalotafutwa na kila mmoja wetu, lakini ni wachache mno huwa wanafanikiwa. Hii ni kwa sababu kuna wanaotaka na wanaotamani mafanikio na uhuru wa...
Kwa wahusika 20/10/2017 ni deadline na mliniandikia barua kuanza KULIPA Mwezi September Online.
Nipo online tangia asubuhi kwenye TAX RETURN ELECTRONIC FILING SYSTEM Usajili is complete tangia...
Wajuvi,
Niko na shida naomba kuuliza njia gani naweza tumia kurekodi mauzo na manunuzi ya vitu kwenye biashara (duka). Ili niweze kujua nimepata faida au hasara kubwa or ndogo.
Natumai mko salama,
Dhumuni la Uzi huu ni kuwaomba wadau wote wenye Uzoefu na Usafirishaji wa Bidhaa mbali mbali kwenda Kuuza Nje ya Nchi, Haswa Bidhaa za Vyakula na Matunda.
Ningependa Kujua...
Habari wakuu!
natumaini nyote ni bukheri wa afya ngoja niende kwenye mada moja kwa moja,kama wewe ni mtengenezaji wa bidhaa za chakula kwa mfano,unga wa lishe,unga wa mhogo au bidhaa za...
Habari za muda huu wana Jamii forum,
Mimi ni kijana ambaye nimechaguliwa chuo cha maji ngazi ya stashahada kozi ya Water Supply and Sanitation Engineering mwaka huu.
Naomba mchango wenu wa tsh...
Wakuu habari za majukumu,
Nina kiasi cha milioni mbili na nusu, naomba ushauri wenu kati ya haya mawili
-Nina eneo kujenga chumba self kimoja cha standard ni milioni mbili na nusu, umeme, maji...
Benki Kuu ya Tanzania ndio taasisi yenye usimamizi wa taasisi za kifedha zifanyazo kazi nchini zikiwemo mabenki.
Moja ya jukumu la Benji Kuu ya Tanzania ni kui endorse maafisa wakuu wanaotaka...
Biashara ya kuuza vifaa vingi hususani till za voda ni chanzo kikubwa cha utapeli kwenye ofisi zao.
Vifaa vingi vinavyotumika kwa ajili ya kazi zinazohusu vodacom hutolewa bure lakini ukienda na...
Wakuu habari,
Naomba ushauri juu ya biashara ya maji ya uhai(chupa)na maji ya viroba ya Tsh.100.
Changamoto ni zipi na maeneo gani ambayo naweza fanya biashara hii.
Natanguliza shukrani.
Nigeria wanaye tajiri mmoja anaitwa Tony Olumelu. Huyu bwana anao mradi maalum (foundation) kwa ajili ya vijana wa kiafrika wenye mawazo mazuri ya kibiashara (entrepreneurship).
Kwa miaka kadhaa...
Wakuu habari zenu,. Mwaka 2014 nilihitimu kidato ya sita shule mojawapo nchini, nikafanya application kuingia chuo kikuu nikachaguliwa kwenda kusoma course ya uchumi pale udsm.
Kwa bahati mbaya...
Jamani kama siku tatu au nne zilizopita nilikuta kipindi TBC na RC Makonda alikuwa akiongelea juu ya kufanyika Maoenesho ya bidhaa zinazozalishwa Dar es Salaam. Anayejua taarifa yoyote kuhusu...
Heshima kwenu wana jamvi,
Nahitaji kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu kwa ajili ya kuwekea bidhaa za wateja wanaponunua vitu dukani kwangu. Naomba mnisaidie mawasiliano au sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.