Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu habari za mda huu.? Nimekuja jukwaani nikiwa naomba mchango wenu wa mawazo jamani muwe huru kuchangia...! *nina laki moja 100000Tsh then nataka kufanya business jaman nifanye biashara gani...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Banki ya NBC Tanzania ninaomba muondoe kero hii. Hatuna haja kutumia ATM kuweka hela kwenye akaunti. Nataka na ni maoni ya wateja wengi kwanini hamuendi kwa kasi. Tunataka tuweke hela kwenye...
1 Reactions
4 Replies
994 Views
Nina biashara mbili moja naifanya, hii ya pili bado nipo kwenye utafiti. NINAHITAJI PATNER Kwenye biashara ya pooltable ninalo moja kila siku linaniingizia 7000 (ndo hesabu nilompa kijana )ila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika mambo ambayo yanaonyesha kwamba kampuni ina matatizo ya kifedha ni pamoja na kutokua na taratibu maalumu za utendaji wake hasa katika matumizi ya fedha. Tatizo hili huwa sio la kushtukiza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards last week, creating a short-term bullish signal, before price got corrected lower on Friday. This...
1 Reactions
0 Replies
644 Views
Mambo vipi wadau naomba kuuliza namna ya kuanzisha Radio Station ni vitu gani natakiwa kuzingatia,taratibu za kufuata ni zipi na equipment zipi ambazo zinahitajika ilikuanzisha Radio Station ya...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa.Katika dunia ya leo kuna michezo ya aina mbalimbali kwa makundi rika tofauti. Lakini kwanini mchezo wa golf unapendwa kuchezwa na watu matajiri,kuna siri gani katika mchezo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Samahani kwa yeyote mwenye uzoefu na bei ya gari aina ya hiace ile super roof, nakusudia kuinunua ila nahitaji used ya kutoka nje ya nchi, japan au dubai, niinunulie yard sio kwa mtu. kwa mwenye...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Naombeni kujua au msaada kuhusu hizi biashara ambazo wenyewe wanaziita online donation je zna ukweli ndani yake au ni ujanja ujanja tu mfano oilframe, global alliance, na zingine nyingi??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asee hii Pesa inazidi kusogea juu iko 12,760,000 kwa 1 BTC muda huu kutokea Milioni Tisa, Wale wenye nazo its ur time to get profit by exchange it to local paper money.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mi ni mkazi wa dar...nimekaa na kufikiria nianzishe biashara gani.nimetoka mtupu. Biashara za kila aina kila kona..nikaamua nifanye biashara ya vitu vinavyoisha faster na matumizi yake ni makubwa...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Leo nimepata nafasi ya kuandika waraka huu kwa ajili ya kuwakumbusha kidogo wafanyabiashara wenzangu na wajasiriamali wenzangu kuhusu dhana moja ya muhimu sana iliyopo katikati ya mauzo na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahindi ndo zao kuu la chakula, na ni zao la Kisiasa. Ni zao la kisiasa kwa sababu Serikali lazima ilinde bei. Chakula kinatajwa kama moja ya Siraha za Mangamizi au Mapinduzi.Hivyo nchi nyingi...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau samahani naombeni mnisaidie kampuni kuwa limited inatakiwa iwe na nn Na tofauti kati ya kampuni ambayo ni limited na kampuni ambayo sio limited
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Karibuni tushare issues mbalimbali zinazohusiana na fidia hasa wakati Serikali inahitaji eneo lako kwa ajili ya manufaa ya Umma Unaweza kupakua hicho kitabu YALIYOMO Sehemu ya Kwanza...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Design mbalimbali kwa bei ya jumla Na reja reja #watsup 0754 940 547
0 Reactions
0 Replies
4K Views
It's real boaring kwa SUMATRA wa Dar yani daladali zinajipangia nauli tu ovyo ovyo na wako kimya mfano mdogo ni; Makumbusho Gongolamboto. Gongolamboto Mawasiliano Gongolamboto Kariakoo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nina milionji 8. Nipeni ushauri kwa Dar, Kati ya biashara ya usafiri wa:- -Suzurki Carry -Bajaji -Taxi -Bodaboda Na je hesabu yake kwa siku ipoje. Stay Blessed
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Wajasiriamali na wafanyabiashara wanatakiwa kujifunza ili kufanya shughuli zao kwa weledi unaohitajika katika kila hatua. Bahati mbaya sana kuanzisha biashara kumeonekana kana kwamba hakuhitaji...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Orodha/list ya makampuni Tanzania. ina taarifa Zifuatazo :- 1. Jina la taasisi. 2. Jina la muhusika 3. Anuani ya posta. 4. Namba ya simu. 5. Namba ya nukushi. 6. Barua pepe 7. Tovuti. 7...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom