Hakuna kulemba, ngoja nende kwenye point directly.
Ni wangapi kati yetu tunaofaamu kiasi cha pesa tunacholipa kwa ajili ya manunuzi ya gase ya matumizi ya nyumbani kinaendana na ujazo halisi...
Siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kuibiwa au kupotea kwa punda. Watu wengi wakawa wanajiuliza hawa Punda wanapelekwa wapi na wanatumika kufanyia nini?
Ngozi ya pumba ni...
FAIDA ZA KUMILIKI HISA ZA VODACOM
Ukitaka kununua hisa lazima ujiulize maswali ambayo utaweza kuridhika kwa kiwango cha kutosha kununua Hisa za Vodacom ni rahisi kwani kampuni yenye huduma...
Habari zenu wadau wa hii forum.
napenda kuuliza,katika tafuta yangu mitandaoni kuhusu data za hizi kampuni 4 (CARGILLS,BUNGE,LOUIS DREYFUS na ARCHER DANIELS MIDLAND)
Je wamefanya investment katika...
Hisa za Vodacom ....Vodacom yashindwa kufikia nusu ya lengo la mauzo ya hisa, kuomba iwauzie wasio watanzania..
Nani mwekezaji kutoka nje atataka kuleta fedha zake kuwekeza kwa nchi inayoongozwa...
Swali hapo juu linahusika wakuu.wapi nnaweza kupata hizi mashine hapa tanzania? nakusudia kuanza hii kazi, lakini nashindwa kuelewa wapi nnaweza kuzipata hapa nchini kama zipo.
Natanguliza...
Kichwa cha Habari kinajieleza kama wewe ni mbobezi wa uchumi lete hoja hapa ili wachumi wenziyo wadadavue pia Serikali ina masikio mkubwa inaweza kutoa hapa kitu cha kusaidia Taifa.
Angalizo...
*Habari wakuu,
Tunatafuta business partner(s) atakayeweza kutoa/kuwekeza angalau 2-2.5 million katika project ya mkaa*
*Raw materials za kuzalisha mkaa huu ni takataka aina zote kasoro...
Kutokana na umaskini imefikia hatua ukitaka Mtanzania akuskilize na kufata yako mueleze iko fursa ya kupata/kuvuna hela kwa mafankio makubwa sehemu fulani yani kwenye biashara nk.
Mueleze kile...
Jaman habari zenu, samahan je kuna ukweli kwamba kuna pesa za kijeluman mfano lupiah zinatafutwa? na kama kwel ni nan anae nunua natanguliza shukran zenu, matus sio uungwana
Dsk
Moja ya makosa makubwa tunayo fanya ni ku quit biashara.
How come umehangaika labda ulikuwa hulali, ulikuwa unashinda njaa kisa biashara yako.
Kuna wakati hata muda wa kusalimia ndugu hukuwa...
Moja ya ishara ya wewe kuelekea pabaya ni kuongezeka idadi ya marafiki ambao wanamawazo mabovu, hawana maono, hawajali kuhusu jamii,hawaheshimu wazazi au hawapendi kujifunza mambo ya kuwajenga ...
Watu wengi wanashindwa kuwa na ufanisi kwasababu ya matumizi mabaya ya muda. Hata hivyo kila binadamu ana masaa 24, siku 7 kila wiki na miezi 12 kwa mwaka. Tafiti za matumizi ya muda zinaonyesha...
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana...
Nsemwa Company Limited, located at Tegeta DSM offers the following services at very competitive prices;
ENVIRONMENTAL PROJECTS:
Environmental Impact Assessment
Water Resource Modelling
Waste...
Wakuu Leo na Mimi ngoja niongee kidogo.
Umaskini ni kitu kibaya sana duniani.Umaskini unasababisha kumkufuru mwenyezi mungu mara kwa mara,hata kwenye vitabu vya mungu umaskini umepigwa vita...
Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo
Habari zenu Wakuu.
Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja.
Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.