Habari za Leo wadau.
Tafadhali naomba kueleweshwa vizuri juu ya matumizi ya mada tajwa hapo juu.
Nimegundua fursa ya kuwekeza mtandaoni ambapo Nina uwezo wa kupata faida kubwa kwa muda mfupi na...
Msipende kufurahi kwakila ubaya wanaotendewa wapinzani kwani upinzani ukiwa hauna nguvu serikali inaweza kujiamulia chochote ifanye pasipo kuhofia lolote.
Kushinda njaa hakumfanyi mtu kuwa tajiri...
Habari wana jamvi!!
Mimi ni kijana Mtanzania Halisi Mwanzilishi Community Based Organization (CBO) iitwayo lifelong learning community based organization yenye ofisi iliyo sajiliwa mkoa wa Dodoma...
amani ya mwenyezimungu iwe nanyi wadau
naombeni ushauri baba kaka dada na rika zangu ambao naamini mnayajua maisha kuliko mimi,... kwa mshahara ninao pokea kwa mwezi nauwezo kwa suisave laki...
Mwanzoni haikua rahisi, ile miezi miwili au mitatu sitaisahau kwenye maisha yangu kwani ilikua ni migumu sana
Biashara niliyoanza nayo haikua biashara sahihi kabisa mambo yakawa magumu sana tena...
Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dk. Philip Mpango akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi rasmi wa uuzaji hisa za Maendeleo Bank PLC uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Hisa za...
Mimi naitwa Obadiah, jinsia mwaname, jamani naomba ushauri na experience ya kununua gemstones Tanzania na kupeleka kuuza Canada kwasababu nina VISA ya Canada na nimetafuta VISA because nataka kuwa...
Nahitaji kiasi cha kuanzia laki sita.
Nina business idea lakini sina wa kunishika mkono.am alone.
Kinachonikwamisha ni mtaji tu
Mimi ni mwaminifu tutaandikishana then tutapatana kiasi cha...
habari zenu wana JF,
Kijana mwenzenu nimefikiria bishara tajwa hapo juu ili kuweza kujikwamua na hali hii ngumu ya uchumi,
Nina Kaeneo kangu ambako Nimeshindwa kukaendeleza kutokana na hali ya...
1. Kamwe usiamke mapema wala usiwaze maendeleo waza ngono muda wa kuamka kama huna usingizi ingia FB au insta, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma.
2. Kamwe usipange jinsi...
Wanabodi,
Sina haja ya kuelezea faida na changamoto za mikopo, wakopaji wanazo faida na changamoto za marejesho, wakopeshaji nao wanazo faida na changamoto za kukusanya marejesho. Lengo la...
Ni habari za kusikitisha lakini lazima tuzisikie na kujua jinsi ya kutatua matatizo yetu.
Kulingan na The Guardian gazeti la leo 2/10/2017, mauzo ya bidhaa za viwanda vyetu kwenda nje ya nchi...
Nimefuatilia mazungumzo ya RC Dar kuhusu kuwataka wauza magari kuhamia Kigamboni eneo la Kibada kwa maelezo kuwa wanapatiwa viwanja bure.
Hiyo itakuwa ni hatua nzuri ukizingatia ameahidi mbele...
D9 CLUB NI KAMPUNI YENYE WATAALAMU WA KUNUNUA NA KUUZA HISA HASWA ZA MICHEZO (SPORTS TRADING)
SPORTS TRADING ni biashara ya kuuza na kununua hisa za michezo kimataifa ambapo mwanachama anapata...
Sisi vijana mara nyingi tunapoanza pirika za kutafuta maisha hujikuta tunaingia katika biashara kutokana na msukumo au uhamasishaji wa marafiki ,jamaa ama ndugu zetu ambao wametangulia katika...
Habari za leo wakuu! Maxmalipo wameanzisha application yao inayoitwa Smartmalipo application ambayo unaweza ku-install na kufanya registration kuwa wakala wa maxmalipo kupitia hiyo application ya...
Habari wadau nimejiuliza sana hivi shilingi 5,10 na 20 kupotea mataan nina weza kusema nina miaka kama mitatu sijaziona hela hizo na sijaona tangazo la serikali au BOT kuziondoa kwenye matumizi...
Khabari wadau... Swali langu ni fupi .. je kuna usajili katika kuanzisha biashara ya min restaurant ya chakula.. kama chips.. wali.. n.k..kama ipo njia ni zipi na certificates za usajili ni zipi...
Habari wandugu
napenda kuanza nianze kuongelea uchumi wa Tanzania kwa sasa.ripoti mbalimbali zilionesha ukuaji mzuri wa uchumi wa nchi yetu na BOT pamoja na Mh polepole kusifia ukuaji wa uchumi...
Kama una shamba heka.1 na lina.miundo mbinu kama maji na hata umeme na still wewe ni wa kutumwa basi una tatizo kichwani mwako.
How come una shamba lina maji ya uhakika na sio ya kuunga uunga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.