Amani iwe kwenu wanaJF
Katika pitapita zangu mitandaoni hivi majuzi nimekutana na huu uwekezaji mpya kwa jina la D9 CLUBE SPORTS TRADING
Kwa maelezo yao wanajihusisha na biashara ya michezo na...
Wapendwa ningependa kufaham kuhusu watu wanaofanya biashara kama distributors wa makampuni ya vinywaji kama vile cocacola, pepsi and the like, kuwa;
1. Wanafaidikaje?
2. Risks zilizopo kwenye hiyo...
za saa hizi wapendwa,,jamani naombeni msaada..mimi ni msichana naependa sana ujasiriamali tatizo langu ni mtaji..nina idea kibao kuna kusafirisha culture nje,kuna kufungua biashara ya pop corn...
Habari,
Hivi karibuni nimekua najipanga kuingia kibiashara ya usafirishaji kwa maana kununua Noah na kuitumia kutengeneza kipato cha ziada pamoja na kumtoa dogo mtaani bila ya lakufanya...
Baba aliniambia "Money comes from offering bogus trading classes/course from desperate middle class people who want to be rich without working very hard". Mwisho wa kunukuu
Leo nimeshuhudia A boy...
Wana Jf ugonile.
Kwanza natanguliza shukrani zangu za dhati kwa walimu wangu walionifundisha kwa kufika hapa nilipo bila wao ingeniwia vigumu kufika hapa.Nawashukuru sana Allah awajalie
Niende...
Wadau kwa muda sasa nimekuwa nikitaka kufanyia kazi hili wazo ila noana kila mara naliahirisha nafikiri na changamoto za maisha zinachangia pia.Wazo lenyewe ni hili:
Nimekuwa nikiona jinsi...
wana body
kuna taasisi moja inajiita kwa jina la STEP UP LOANS kwa maelezo inajihusisha na kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadgo online tena ndani ya dk45... ila vigezo lazima uweke akiba ndo...
Habarini za muda huu?
Poleni sana na majukumu ya kila siku,
Leo nimekuja na swali ndugu zangu, kwa atakayekuwa mjuzi basi atatusaidia kutuelewesha sote tunao hitaji uelewa juu ya hili.
Kima cha...
Wakuu
Nafrkri mko Poa kwa wenye matatizo polen. Naomba tupeane ujuzihapa nibiashara gani ambayo naweza toa Uganda nikaleta Tz ikanipa Faida hasa solo lake Liwe ktk mkoa wa mwanza Na...
Watu wengi sana tumekuwa tukijikuta tunashindwa kufanya maaamuzi muhimu Katika Maisha tu Kwa kuogopa "WATU WATANIONAJE "
hii Watanionaje Syndrome ni ugonjwa mmbaya sana sababu ni Kitu ambacho ni...
Ili uchumi wa Tanzania ukue na kuendelea tunahitaji kuwa na vijana wenye nguvu, na akili timamu na wanaomcha Mungu, sasa vijana wengi wa Tanzania wenyewe kazi yao ni umbeya tu kusikiliza habari za...
Habari wakuu, jana majira ya mchana nilipita maenea ya njiro palipo na kiwanda kilichowahi kujulikana kwa jina la general tyre...
Nilichokuona sikukielewa, kulikuwa na harufu kali kama ya kuchoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.