Heshima kwenu wanajamvi,
Wakuu General Tyre inafanyiwa ukarabati mkubwa wa majengo na mashine/mitambo kwaajili ya kuanza uzalishaji mwakani Mungu akipenda.NDC wamekabidhiwa kazi ya kuifufua...
Huwa kuna ufanano fulani kati ya Ujasiriamali na Mapenzi, ufanano wao ni kwamba Mapenzi hayafundishwi, hakuna chuo Duniani cha kufundisha mtu kupenda mtu.
Kwamna unaingia Darasani kufundishwa...
Great thinkers,
Habari za asubuhi.
Ninaomba kusaidiwa kuelimishwa namna biashara kwa njia ya mitandao inavyofanywa.
Nitafafanua ili nipate ushauri unaokidhi shauku yangu. Mfano nataka...
Habari wana jamii wote,
Nina eneo Arusha linakaribia kufika heka moja, je napataje muwekezaji wa kujenga lodges ila kabla ya ujenzi tutaingia makubaliano maalumu na namna ya kulipana huko...
Wakuu hapa tuwe tunapeana bei za madafu za kila siku kwa kutumia bei zilizotundikwa kwenye bureau de change mbalimbali hapa Tanzania.
Imebidi nianzishe uzi huu baada ya kushindwa kujua gharama za...
Unavyosikia kwamba hela ni wazo ina maana chimbuko lake ni kwenye akili lakini swali kubwa ni akili zetu zina nini?
Hilo ndiyo swali kubwa haswa. Ukiona hela hauwezi kuipata angalia kwanza kwenye...
“If there were a cornerstone to trading it would be the ability not only to be resilient when in drawdown but also to accept that we get things wrong. Sometimes there is a flaw in our methodology...
- Mirinda siyo kampuni bali ni Trademark ya PepsiCo, Je, nikisema nisajili kampuni yangu kwa jina Mirinda ni kosa kisheria ?
- Na je, kilichosajiliwa ni Neno MIRINDA au Logo yake au hakuna...
Habari zenu wapambanaji wenzangu.
Kwa Leo ninayo machache juu ya mambo ya hisa za vodacom.
Tunajua ni jinsi gani zilipigiwa upatu kuwa biashara itakayokuja kututoa kimasomaso lakini kwa sasa...
Picha ambayo watu wengi ambao hawapo kwenye biashara wanayo kuhusu biashara ni kwamba biashara ni sehemu ya kufaidika wakati wengine wanaumia. Huwa wanafikiri kwamba kwenye biashara unahitaji...
Vodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na...
Wana JF habarini
Naombeni msaada wakuu nahitaji mkopo bank kwa kuweka bond kiwanja changu hekari 2 ambacho hakina hati miliki nilikinunua tu kawaida kwa kupata barua za Mwenyekiti wa serikali ya...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nauliza kama una basi moja la yutong linaenda safari za dar to songea faida yake kwa siku ni shilingi ngapi ukitoa pesa ya mafuta na matumizi mengine...
Serikali imeonyesha kufaulu kwenye kuidhibiti dola ya marekani lakini tunaona uchawi wetu wa kiafrika bado upo. Kuna taasisi nchini tena wapo chini ya serikali bado wana rate kwa dola na wana...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
On September 18 and 19, this pair made a faint bullish attempt, only to come down on September 20 (and then went...
Shida inayo tukabili wengi sio kukosa Idea bali ni je hiyo Idea unaitekeleza vipi?
Idea zote ni nzuri iwe ni kufuga Nguruwe, iwe ni kuchoma.mahindi, iwe ni kuuza maji Barabarani, iwe ni kuwa na...
Moja ya kanuni kubwa ya kimafanikio ambayo unatakiwa kuanza kuitumia ni KUKATAA KUTOA SABABU YOYOTE. Kama kuna kitu unakifanya, kifanye. Kama kuna kitu umeshindwa kukifanya huna haja ya kuendelea...
Habar ! Ninajishughulisha na uuzaji wa dawa za asili. Naomba ushauri namna ya kuiboresha biasbara ya dawa za asili hasa katika vifungashio (package) na uhifadhi ama usindikaji kwa wanaofaham zaidi
Habari wana JF.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Lengo kuu la kuanzisha Uzi huu nikuomba ushauri na elimu juu ya mradi huu wa...
Nina Mchangamanuo wa Kibiashara ambao umekwisha shinda kumi-bora katika mashindano matatu tofauti ya kitaifa. Japo mtaji unaohitajika si mkubwa, lakini umeshindikana kupatikana kupitia Benki. Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.