Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu friends hivi biashara ya tigo rusha inalipa? na kwa mtaji wa 100,000 faida inafika shngapi!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kama mtaalamu mdogo sana katika maswala ya uchumi kuna vitu nilikuwa navingojea ili niweze kutoa mtazamo wangu na nilikuwa nafuatilia kidogo kwa mbali nikawa napata feedback kuanzia mwezi wa tisa...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari ya kutwa wanaharakati. Nahitaji leseni ya biashara naomba kujua utaratibu ukoje mpaka napata leseni. Tin number tayari ninayo
0 Reactions
8 Replies
5K Views
It worth sharing the following SAYING of the Late Dr Myles Munroe; a man of wisdom. He was quoted as saying: I was born poor, sleeping on the floor with cockroaches and rats. Today, I own my own...
1 Reactions
6 Replies
868 Views
Helloo wa ndugu kati ya watu wabishi na mimi nimo lakini kuinvest kwenye biashara hii kweli nilijitoa mhanga na saivi nitakuwa nina uhakika wa kulaza zaidi ya sh 70000 kama faida per day kwa...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Early in September, Gold went upwards to reach a high of 1357.14 on September 8. Since then, Gold has lost at least, 8,200 pips, creating a huge Bearish...
1 Reactions
2 Replies
481 Views
Habari wakuu! Baada ya kutoa training dar kuhusu forex , TMT (The Million Team) chini ya usimamizi wa boss ONTARIO sasa ipo mbioni kuanza kutoa mafunzo hayo kwa wale watu wa mikoani ,, mafunzo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market lost about 200 pips last week, went briefly below the support line at 1.1750 and then went above it, to close...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Habarini wanajukwaa? kwa wale wakatoliki hii itatugusa zaidi. Ni ukweli usiopingika kwamba hii radio station inayoitwa Radio Maria inafanya kazi kubwa kuinjilisha kwa njia mbali mbali kama...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Tulimtukana sana Mwijage kuhusu kauli yake ya kuhamasisha kuwa kiwanda ni hata pale unapokuwa na vyerehani vinne. Katika pitapita yangu kwenye mtandao nimekutana na kampuni au kiwanda kilichoanza...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Habari Wanajukwaa: Kwa Wale Wadogo Zangu Mliochaguliwa Vyuo Vya Afya Hasa Diploma ( Clinical Medicine, Pharmacy & Nursing) Kuna Hii Biashara Ya Vifaa Vya Hospital Vya Mwanafunzi ( Vital Sign...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Moja ya Chalange inayo tukabili wajasiriamali wa bongo ni kuto ku heshimu dream zetu. Kila mmoja najua ana dream au Idea yake ambayo angetamani kuitekeleza kabla hajafa. Ila tatizo ni pale mtu...
9 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza hii taasisi ya PRIDE imefilisika? Nauliza haya kwasababu siku hizi wamekuwa wakisua sua sana kukopesha Pesa. Inafikia kipindi hadi mkopoji had I wa tsh300000 inawachukuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naskia kuna baadhi ya biashara ukitoa zanzibar kuleta bongoland..zinalipa saana...n pia kuna biashara ukitoa bongoland kupeleka zanzbr kuna faidaa...ninaomba kujuzwa juu ya hilii kwa yeyote...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi. Naomba kujua fursa za biashara zilozopo katika visiwa vya Comoro. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu najaribu kuwaza tu Maana hizi zimekuwa ni Kama hela za dunia
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kuna clip nimeiona whatsapp inasambaa ambapo yule mzee Simbeye mwenyekiti wa sekta binafsi anaongea kwamba tarehe 13 october kuna nafasi za kwenda China kuangalia fursa za viwanda ambapo...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa kufanya BOOKING ya uhakika kwa usafiri wa barabarani kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine nda ya Tanzania... Andaa siti yako mapema kwa kuchagua aina ya gari ulipendalo.. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
wadau naomba kuuliza. mimi nina biashara ya salon ya kiume 'barber shop' ambayo nina TIN number iliyoandikwa kwa jina langu na jina la hiyo salon, ila hivi sasa ninataka niongeze salon ya pili...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
TRA nawakumbusha tu, mko busy kukusanya mapato kwa wafanya biashara wanaopata faida kidogo kwa mwezi, wafanyakazi wa uma wenye vipato hadi laki 300 kwa mwezi mnawakata. Lakini msanii anapata...
1 Reactions
14 Replies
969 Views
Back
Top Bottom