Vp washikaji?
Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa...
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western...
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana...
Naombeni kujuzwa ndungu wana jf kama kuna uwezekamo mtu wa saudi arabia kutuma hela mpesa tz au kama kuna njia nyingine nzuri ya kupokea hela kwenye kutoka saudi naombeni kujuzwa juu ya hilo
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
The pair has been going southward since September 25, having lost about 200 pips. Price moved briefly below the support...
Tunatoa huduma ya outside catering kwenye harusi, kitchen party,birthday,semina,Graduation nk. Sahani moja ni 15000 hadi 18000 unapata startet ambapo kunakuwa na soup,main course kuku wa...
Habari wakuu,
Juzi familia yangu tumebahatika kununua gari aina ya noah ilikuwa inamilikiwa kama private kibao cha njano, lakini sasa tumeibadiri umiliki na sasa ipo cormecial kwaajili ya...
Nikiwa Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation
yenye ofisi mkoa wa Dodoma wilaya ya Dodoma mjini,,, Inajihusisha uhamasishaji wa masuala mbalimbali ya...
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Benard Kibese ametoa ufafanuzi juu ya hali ya ukuaji wa uchumi wa Taifa unaodaiwa kutoakisi hali ya maisha akieleza kuwa unakua kutokana na...
Natafuta mfadhili/ mhisani au mwekezaji.
Mimi nikiwa kama Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation yenye ofisi Dodoma mjini tunahitaji mhisani/mfadhili au...
Napenda kuwasalimu wana JF wenzangu habari za weekend na pia poleni sana kwa uchovu wa pilika pilika za wiki nzima.
Bila kupoteza muda naomba nije moja kwa moja kwenye mada;
Leo naomba...
if you are unhappy with your salary, you are in the wrong job. Look elsewhere, preferably follow your dream if you have any: MWATHAI
Muguku started with two hens and a cock to supply eggs for...
Kwanza hongereni kwa michango yenu ya kujenga, huwezi kupita jukwaa hili usipate kitu kipya.
Ila pia kwa upande mwingine baadhi ya washauri, wachangiaji ni wakatishaji tamaa sana.
Mtu anaomba...
Wapendwa wadau,
Niko Sengerema ni mwezi sasa, nahitaji kujua fursa nyeti zitakazoweza kuniingizia kipato iwe ni ya gari, kilimo na hata ujasiriamali.
Naomba mawazo yenu wana JamiiForums.
Habari wakuu,
Naomba ushauri,
Nataka nifungue platfom google ambayo itahusika na utoaji wa mafunzo ya mapishi kwa njia ya masafa marefu yaani distance learning na mtu atakua anabook kipindi...
Habari zenu ndugu zangu,
Katika tafiti zangu zisizo rasmi, nimegundua kizazi kinacholalamika kuhusu ajira, naongelea degree holders ni waliomaliza kidato cha nne mwaka 2010 na kurudi chini. Na...
Wakuu.
Nimepata kubadilishana mawazo na wafanyabiashara wakubwa , wengi wao wanaelezea jinsi walivyohamisha mitaji yao na kutoa pesa kwenye mzunguko nchini,
Na mitaji yao wameipeleka mataifa...
Mimi ni mfanyabiashara wa dagaa za Mwanza za kukaanga pamoja na samaki kutoka Mwanza, nimeanza biashara hiyo nina mwezi mmoja.
Changamoto kubwa ninayokutana nayo ni gharama kubwa za uendeshaji...
Habari humu ndani nimenunua asali ya nyuki wakubwa toka TABORA dumu la Lita 20 kwa laki moja na arobaini ninaomba formula ya kupata being ya kuuzia please nasubiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.