Kipindi cha nyuma kulikuwa na taarifa ya kujengwa kwa bandari mpya ya mwambani. je ule mpango bado upo au ujio wa bandari ya kusafirisha mafuta ya chongoleani umekwamisha.. pia napenda kufahamu...
Habari wakuu.
Wanasema wahenga wa kizungu "Ukishindwa kupanga, umepanga kushindwa''.
Hivyo Andaa mpango wa biashara yako kwa kuzingatia maeneo yafuatayo kama nilivyofanya kwa mpango huu wa mafuta...
Jeffrey Jessey ni kijana wa Kitanzania ambaye baada ya kumaliza masomo yake aliajiriwa na Benki ya Dunia nchini Tanzania lakini aliacha kazi na kuanza kushona nguo akisema alipenda kushona nguo...
Habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani.
Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link...
Habari za asubuhi ndugu wana JamiiForums,
Ninaomba kwa yeyote anayefahamu bei ya mayai ya kienyeji kwa mkoa tajwa hapo juu anijuze au atujuze wenye uhitaji wa kujua kama mimi pamoja na masoko...
MAADUI WA VITA YA UCHUMI
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
SIKILIZA Radio CHANYA
Tumegusa uchumi wa bepari. Mara zote, na kote duniani bepari alipoguswa kwenye uchumi wake basi ametumia...
Wakuu
Kama watanzania na watanganyika mnaona je. Nini kinatakiwa kufanyika? au tunashindwa nini kuwa a infunce kubwazaidi ya usafirisha bidhaa za Rwanda na Burudi kupitia tanzania na...
Habarini Wadau,
Nimekuwa nikitembelea mara kadhaa jiji la Mwanza kikazi na kuvutiwa mno na huduma ya chakula inayotolewa pale Malikusema, naamini wadau wengi humu waliofika mwanza wanapafahamu...
Wakuu,
Nina kiwanja kipo Kijenge juu -Arusha. Kiwanje hiki hakina hati ila kima offer tu. Je, ninaweza kupata mkopo kutoka kwenye taasisi za fedha?
Kama ndio ni zipi,
Na masharti yakoje?
Naweza...
Humu ndani ni ukweli kwamba kila mtu ana ndugu na jamaa na marafiki ambao kwa sasa wako kitaa hawana kazi na wengine wamepiga hada Masters na wako mtaani.
Kizazi cha kuto dhubutu kilianza enzi za...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
The market is bullish in the long-term and neutral in the short-term. There was a slight bearish movement last week...
Wasalamu,
Wakuu maisha yamebana sana na kila mtu anatakiwa kujiongeza ili mambo yaende. Mimi nina kautalaam kidogo ka silaha za jadi ie: upinde, mishale, mikuki na kadhalika.
Nilipata kuletewa...
Kipindi cha nyuma kulikuwaga na mijadala migumu sana humu,
Kulikuwa na hamasa sana, watu nakumbuka walikuwa hadi wanakutana kwa Chai day na wana discus Biashara hasa kilimo,
Idea ya Jamii Saccos...
Heshima mbele wadau,
Kama mjuavyo nimekuja kwa fuso la njegere hapa jijini juzi tuu, nikatokea hukoooo kijijini Madeke kwa wala Mbwa.
Back to the point ya msingi. Baada ya kushuka tuu nilikutana...
Salaam kwenu,
Napenda kushauri wafanyabiashara kua Tanzania ya sasa inaua mitaji ya wafanyabiashara kodi sio rafiki ni kodi kubwa kuliko mitaji yenyewe nashauri watu wakawekeze Uganda au DRC au...
Pengine umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili
uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za
umaskini. Yako mambo mengi ya kufanya mimi
nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu
tena kwa uchache. Jambo...
Mkazi mmoja wa wilayani Serengeti amedai kugundua eneo lenye madini aina mbalimbali ambayo anataka kuyakabidhi serikalini ili yachimbwe kwa manufaa ya taifa. Source: ITV HABARI
Vitabu vya sauti (Audio Books) nitakavyokupa mwisho wa hii thread vitakusaidia sana kwenye Biashara na maisha leo leo na utasimulia mwenyewe.
Wengi ni wavivu sana kusoma vitabu,sana sana...