Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana jamiii,Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo Fulani nchini,,Pia ni muhanga wa janga la ukosefu wa ajira rasmi kwa wasomi linaloendelea nchini. Katika hangaika hangaika...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Najua humu kuna watu wenye uelewa wa vitu mbalimbali.Sasa basi mi nna jambo nataka kuuliza je kuna mtu anajua ni kuhusu hii biashara ya shilingi za zamani na kwanini watu wanasema huuzwa kwa bei...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kituuu gani hasaaa kina sababisha mtu kuwa mjasilia Mali ingali mwanzo hana kipato
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama unaswali lolote kuhusu water quality niwakati wako wakuuliza chochote,na wenye viwanda vya maji,kama inahitaji "water quality technicians wenye experience tuwasiliane,wapo wanaofanya kazi km...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati Serikali ikifanya jitihada kulifanya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindana na kampuni binafsi, biashara ya usafiri wa anga nchini inazidi kuporomoka, ikiathiri kampuni, ajira na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani wana jamii naombeni kuuliza kw wenye uzoefu na utaalamu w mambo y saloon z kike ili iwe stable n muonekano mzuri w kuvutia wateja inahitaji km Tsh/=..?
1 Reactions
0 Replies
3K Views
wadau kwa maelezo ya msajili wa hazina kama nipo wrong nisahihishwe kasema kuna bank ina Non performing Loan kama ya billion mia nne,je ni bank gan na kama kuna mtu ana orodha ya bank zote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ningependa tuweke record sawa, ili kujua viwanda vipi vilikuepo na vipi vimeongezeka. Tukiacha dar es salaam napenda kujua ivi mbeya, Iringa na morogoro kuna viwanda vyovyote vikubwa? weka...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
nahitaji kufahamu kuhusu corporate tax policies in tz, kuna tofauti gan kat ya corporate tax, na tax anayolipishwa mtu binafsi katika shughuli zake za kimaendeleo na mamlaka husika? Je ipi iko na...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
AUS200 Dominant bias: Bullish On November 9, AUS200 dipped massively, reaching a low of 5042.00. Since then price has climbed numerous resistance lines (now support lines) gaining roughly 4500...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
In Nairobi, there was a Samosa vendor. His shop was in front of a Big company. His Samosa were so tasty. Most of the employees use to eat those samosa at lunch time.One day, a Manager came to tha...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf kwa wanaopajua M-Store hapa dar naomba anielekeze ilipo.
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Aisee acheni tu zile hisa za DSE zilizokuwa zinauzwa 500 mwezi uliopita kuanzia wiki hii zimeanza ku trade kwenye secondary market kwa bei ya mpaka 1100. Yaani roho inaniuma sana maana hii...
17 Reactions
234 Replies
26K Views
MFANO WA NGEDERE Mzungu mmoja alikua na mtaji wa shilingi Milioni moja na akataka kufanya biashara itakayompa faida kubwa (super normal profit) kwa kipindi kifupi. Akaenda kwenye kijiji kimoja...
11 Reactions
12 Replies
3K Views
Mauzo soko la hisa Dar yaporomoka tena Mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam ( DSE) yameendelea kushuka kwa wiki ya tatu mfululizo baada ya wiki iliyopita kuporomoka kwa asilimia 87...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bank Stocks Have Gained $300 Billion in 25 Days Thanks to Trump Lu Wang luwangnyc Felice Maranz November 28, 2016 — 1:00 PM AST Updated on November 29, 2016 — 12:07 AM AST Optimism is...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Waziri Mpango na Rais wanabisha kwamba hali ya kiuchumi ni mbaya, wanaodai kuna ukata ni wapiga dili waziri profesa anasema, lakini hajasema kwa utaalam wake hali nzuri iliyopo ameipima vipi au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mikopo (African Capital) Mikopo (African Capital)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kukamilika kwa mradi wa daraja la kigamboni na kutaarifiwa huenda ukawa unaliingizia shirika la NSSF milion 23 kwa siku (23m × siku 30 = 690m, nami nimewaza kuanzisha daraja la kutoka...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…