Wadau habari zenu.
Niko Arusha, nataka kufanya biashara ya viwatilifu/pembejeo za kilimo. Naomba msaada kwa anayejua Suppliers na mbinu za hii biashara. Mtaji ni mdogo kwa hiyo sio biashara kubwa...
Inside a Moneymaking Machine Like No Other
The Medallion Fund, an employees-only offering for the quants at Renaissance Technologies, is the blackest box in all of finance.
Katherine Burton...
4Corners Alliance Group
Ni kampuni inayotokana na kampuni mama ya Cornerstone LLC iliyopo Las Vegas Marekani. Imeanzishwa mwaka 2012 na mwanzilishi wake akiwa ni David Harrison ambaye alikuwa ni...
habari wajna jamii forum
naomba msaada kwa wale wataalamu wa geology na petroleum engineering .
katika eneo nililopo kwa sasa bondeni kidogo kuna chemchem na maji yanapotoka hutoka na kitu kama...
Mara zote hakuna barabara isiyo na kona hata iwe ya lami.
Mimi ni sihitaji kujitambulisha ni mwanachama wa chama gani ila ukifuatilia michango yangu humu jamvini utajua nini msimamo wangu na...
Habar wana jamvi,tafadhalini naombeni msaada wenu wa namna barua ya kusimamisha kampuni kwa muda katika kuendelea kutoa huduma ili niepeleke TRA,kikubwa .nielezeeni vitu muhimu vinavyotakiwa...
Mnamo mwezi wa kwanza mwaka huu nilianzisha mada hapa jukwaani nikiomba ushauri wa kuagiza mashine toka China. Ishu ilikua niende China au niagize kwa mtandao kupitia Alibaba.
Nilipata ushauri wa...
Kama mada inavyosema, ifike mahali tuwe na road Toll.Ikiwekwa Tsh elf30 kwa mwezi yaani Tsh 1000 kwa siku tutapata pesa nyingi. Hii iwe kwa kila gari na pikipiki iwe Tsh elf15 yaani Tsh 500 kwa...
Wadau nahitaji msaada wa hali na mali kujua namna hii biashara inavyofanyika katika soko la mabibo .ili nami nipate kujua namna ya kutupa karata yangu kwenye hilo game
Nmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa bilionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa...
Wakuu salaam,
Nina maroba chakavu mengi sana ambayo yalitumika kuhifadhia mahindi,naomba kufahamishwa kama lipo soko lake kama ilivyo kwa makopo ya plastiki ambayo hua naona yakiokotwa mitaani.
Na...
Im looking some one interested to establish toothpick manufacturing factory here in Tanzania,Capital needed is $ 50000
Interested person in box me please
Poleni na majukumu ya kila siku ktk kulijenga taifa letu... Nijikite ktk kichwa cha habari... Wakuu mm ni mwanafunzi wa chuo flani hapa tz nachukua shahada ya uwalimu... Nimepata wazo lakusajili...
Jamniiii nisaidieni katika eneo langu kuna watu weng wanatumia luku na wakinunua umeme kwa simu smtyms unasumbua je naweza kupata mashine kama ile ya tanesco niweze fanya biashara? Na faida yake...
Wadau,
Nipo kwenye mchakato wa kujenga kwa sasa. Nimekwisha paua tayari.
Nimeuliza mafundi, ni nini kinafuata kati ya kupiga paster au ceiling structure (vile vimbao vidogo vidogo vya 2x2 inch...
Would Thanksgiving Rally Happen This Year?
GOLD (XAUUSD) is currently weak, owing to another phase of a southward movement, which started a few months ago. The downtrend has been particularly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.