Habarini ndugu,
Nauliza Ni king'amuzi gan kina bei rahis mm ninahela ndgo efu hamsn tu na shida yangu niwe napata taarifa ya habari basi. Nipo mwanza mwenye kujua anielekeze tafadhari. Asante
Hakuna biashara inayonishangaza kama biashara ya mabondo ya sangara, mabondo ambayo bila shaka yako kwenye orodha ya nyara za serikali lakini isiyojaliwa na serikali.
Biashara hii ambayo...
Msema kweli ni mpenzi wa mungu
Maisha ni magumu, mshahara hautoshi halafu ukitegemea mwanaume akupe hela hakupi kwanza anakudharau anakuona huna maana.
Nimefikiria kuanzisha biashara ya saluni...
Wandugu kuna kahela natarajia kukapata kiasi flani na natarajia kuchukulia dirishani (mkopo) na ili kufikia rejesho lao la mwezi inabidi nifanye biashara yenye kupata hela ya kutosha.
Wazo langu...
Salam kwenu.
Nina Ndg yangu ana mtaji wa 70m anatamani sana kupata biashara ya kuwa wakala wa bidhaa inayofanya vizuri Sokoni. Naomba msaada wa mawazo. Anaishi Dar.
Green Agriculture
Pata ujuz wa Kilimo Kwa kusoma makala mbalmbal zilizoandikwa na wataalamu wa Kilimo
*Huduma zetu*
_drip irrigation design and installation, Sprinkler irrigation and all...
Ni cement ipi nzuri ya kufaa kujengea nyumba ya kuishi... Huku kwetu simba cement ni bei nafuu, so nkajikuta nahitaji kuitumia ila nkahofia huenda isiwe na ubora, ndo nkaona nawaulize...
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU,UTHUBUTU, KUSTAHIMILI NA UJASIRI WA MAAMUZI.
✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma...
mimi nimehitimu chuo katika mambo ya biashara na computer ya IT sasa katika kukaa mda mrefu kitaa nimeona nianze biashara ya kufuga kuku wa nyama kama mama yangu alivyo kuwa anafanya sasa kwa sasa...
Report ya benk ya dunia (WB) ya 2016. yaonya kuwa uchumi wa taifa letu Tanzania utapolomoka karibu kwa asilimia 5% kwa mwaka huu.
Kwa dalili hii inawezekana tukaipoteza nafasi ya 10 tulionayo ya...
Wadau wa Biashara na Uchumi hamjambo?
Le
How To Become a Millionaire During The Depression
June 11, 2008 by Sandra Simmons 12 Comments
How To Become a Millionaire During The Depression
It is a...
Uchumi unaweza ukatolewa tafsiri na maana lukuki kwa mujibu wa wabobezi katika masuala ya kiuchumi nchini na ng'ambo.
Sio lengo langu kutoa maana ya neno hili lakini ili niweze eleweka kwa...
KAMPUNI ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imepigwa marufuku kuendelea kununua majani ya chai kutoka kwa wakulima wa zao hilo mkoani Mbeya na badala yake kiwanda chake kitumie majani...
Wadau si mara ya kwanza kuingia hapa na kushawishi watu wenye nia ya kuungana katika biashara ,Mimi mbali ya biashara nyingine ndogondogo ninauza CEMENT .biashara hii ni kama unauza chakula kwa...
Samahani nilikuwa nauliza,simu ya nokia 6700 tanzania inauzwa bei gani?nimenunua hizo simu from u.k,ila nilikuwa napenda kujua bei ya tz,ili na mimi nikiuza nisiwagonge sana au nisije uza kwa...
Wakuu habari za muda huu
Nina hili wazo la ku supply magazeti yale ambayo hayakununuliwa kwenye maduka ya huku mtaani kwani kuna uhitaji mkubwa.
Tatizo langu kubwa ni kuwa sijajua nayapata...
nimeulizwa na mtu mfano una shamba ekari 35 lenye title deed unaeza pata loan kias gani incase ukalieka dhamana,,, nmeexpress swali ka lilivo mi cna knowledge yoyote kuhusu issue za loan...