Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naweza pata mkopo benki kwa kutumia shamba?, je masharti yakoje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair moved upwards 150 pips last week, testing the resistance line at 1.1150, in the context of a downtrend. The...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
1. Hawana mazungumzo marefu sana. Hii hutokana na kuwa watu hawa huamini kuwa wakisikiliza ndio watapata maarifa mapya na ujuzi zaidi kuliko kuongea, ni mara chache sana kuwakuta wakifanya...
13 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa please! Je,M-PESA YA KENYA inaendana na M-PESA ya Tanzania? je naweza mtumia fedha mtu aliye Kenya au yeye anaweza kunitumia mimi?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ujue baadhi ya matajiri waliofanikiwa kutoka kimaisha ni wajanja sana Wanaficha FORMULAR walizotumia ilikufanikiwa . Kuna wengine ukiwauliza ulitokaje kimaisha wanasema FANYA KAZI KWA BIDII...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
1. Aliko Dangote (USD 21.6 Bn). anatoka Nigeria. Ni Mwafrika pekee aliyeingia ktk top 50 ya dunia 2. Johann Rupert (7.3 Bn) anatoka Afrika Kusini 3. Nicky Oppenheimer (6.8 bn) anatoka Afrika...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika maisha yeyote Yale dunia lazima ujitoe sadaka ili uweze kufanikiwa katika maisha wapo waliopoteza pesa,nyumba,watoto,,mke,magari,,viungo vya mwili na uhai yote kwa ajili ya pesa.hakika ni...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni biashara gani ya nafaka (mahindi/mpunga) ina soko zuri kipindi hiki?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wapendwa, ni ukweli, ni uhakika na ni muhimu. mimi mwenyewe nimefaidika na nataka na wewe ufaidike kama mimi. ebu bonyeza hapa na utaona faida yake we ingia utakuja kunambia...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Wakuu habari Kwanza poleeni kwa mahangaiko ya juma lililopita na MUNGU awapatie nguvu kwenye juma hili jipya. Naomba kujua bei ya viazi vitamu kwa gunia, bei ya kununulia kwa dsm na pia bei ya...
2 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu. Nlikuwa nataka kujua utaratibu wa kufanya biashara mitandaoni kama vile online shopping ama any business ambayo itaconduct transactions online. Nlikuwa nafikiria kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ndiyo mwanzo wa utekelezaji wa Sheria Fedha (Finance Act, 2016) iliyopitishwa katika Bajeti ya 2016/17 ambapo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa katika huduma za mitandao ya simu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepata vyumba vikubwa 15 katika maeneo tofauti dar es salaam mjini kati na mwanza pia, na sikupenda kufanya biashara nyingine mfano kua na restaurant au storage, clothing etc.. kila mtu anafanya...
3 Reactions
43 Replies
41K Views
Wakuu salaam Naomba kufahamu kama vifaa vya ujenzi vumeongezewa kodi kwenye hii bajeti iliyosomwa Leo, mimi sikupata nafasi ya kusikiliza kutokana pilikapilika za kimajukumu Ahsanteni
0 Reactions
7 Replies
2K Views
There is exciting potential to transform the forestry sector – promoting its sustainable growth, ensuring large and small-scale growers can exploit compelling opportunities in commercial timber...
1 Reactions
0 Replies
654 Views
Natumai hamjambo waungwana,mimi ni mwajiriwa serikalini,sijathibitishwa kazini bado,hoja yangu ni kutaka kuchukua mkopo kupitia bayport kiasi cha sh miliion tano na nusu,na nataka kuurejesha ndani...
0 Reactions
78 Replies
15K Views
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo juu... Natafuta mshirika wa kibiashara... Ni ufugaji wa kuku, nguruwe na kilimo cha green house.. Mimi natoa eneo lililopo Tegeta. Mshirika aje na investmemt...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania is well known natural gas hotspot. With government estimates over 57 trillion cubic feet of natural gas deposits. International individual and companies are moving in to tap business...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Kwanza napenda ijulikane kabla serikali haijaingiza vat kwenye utalii tayari mgeni/mtalii analipa vat kwa kuzunguka (indirect); kila mtalii anayekuja Tanzania analipa vat, analipaje? akilala...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wana uchumi wenye uzoefu naomba ushauri nina deni Bayport wa sh milioni 9.9 lililotokana na mkopo wa sh, milioni 5.2 kiukweli riba zao ni kali,,,, nimekopa kwa miezi 36,,,,,,, bado miezi 3 niwe...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…