Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mimi ni mjasiliamali ambaye baada ya kumaliza masomo ya elimu ya juu, niliamua kufungua kampunu ya kibiashara inayohusiana na masuala ya (BUSINESS TRAINING, PROMOTION AND ADVERTISEMENT). wazo hili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu. Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Salaam, wana wa Jf. Katika kujiongezea kipato, ninataka kuanzisha kampuni ya ulinzi. Naomba mwenye ABC za kuniwezesha kuwa na kampuni hiyo, anielekeze. Wasalaam
0 Reactions
19 Replies
17K Views
Salaam tafadhari naombwa kujuzwa je katika uandishi wa business plan ni lazima iwe * kwa lugha ya kiingereza? *ni lazima kwenye zile calculations jinsi ya kuproject future sales ziwe...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
"When oil drilling activity collapses, oil supply goes down too!" Julie Verhage julieverhage Luke Kawa LJKawa June 20, 2016 — 5:59 PM AST Rebounding after a two-year collapse, it's...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Hi Wanajamii, nafahamu humu tumesambaa Dunia nzima, sasa leo naomba kama kuna Mzalendo yupo UK au Japan , na anasafirisha mizigo or kufanya biashara UK/Japan -Tz aniinbox nataka kuagiza bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Baadhi ya mawakala wa mpesa na maxmalipo wamesitisha kutoa huduma zao kutokana na hasara kubwa ambayo wameipata. Hali hii imejitokeza toka juzi ambapo mteja akitoa hela haiyonyeshi salio kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf naomba msaada kwa yeyote anaejua impact zinazoletwa na tax reforms in Tanzania!
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Habari wana jamii forum. Teachers' Junction kupitia kitengo chetu cha Teachers Networking Centre kinachojihusisha na kuwaunganisha walimu na shule za watu binafsi (private) nchini, ambapo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania ya viwanda tunayoitaka yenye kutengeneza fursa sawa za ajira kwa watanzania wenye vigezo sawa. ni lazima iwe ni matokeo ya watanzania wenyewe. Wasomi wa Taifa hili ni lazima...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi wadau wapi hapa tanzania naweza kupata kununua Mianzi (Bamboo) ambayo yapo katika ubora? Niko interested na kuanzisha furniture za bamboo
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hivi ndugu zangu nimekuwa nikiwaza kila siku kuhusu hii taasisi ya kijambazi ya kukopesha pesa watumishi wa serikali ni ya nani na kwa nini inaendelea kuishi wakati inawanyonya wafanyakazi kwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Soko la hisa no sehemu ya uwekezaji NA zaidi soko hili liko zaidi dar es salaam,watu wamesambaa mpaka vijijini na hao soko la hisa wana mawakala wachache.....kwa nini wasitumie teknolojia?kwa nini...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
inachukua mda gani kutuma T/T kwenda japan? Maana nilituma j4 mpaka sasa haijaenda nkicheck salio halijakatwa,nikifatilia bank wanasema branch nliotuma T/T sio branch yangu so mpaka wawasiliane na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Kuna vijidola nilikua nataka nitumiwe but nimeshindwa namna ya kutumiwa kwa njia ya bank. Kuna sehemu imeandikwa enter credit card number, nikaingiza namba za card yangu ya bank...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Vipi kuhusiana na biashara za mtandaoni??? Mnalizungumziaje hili?!
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Heshima wakuu. Mi nimtumishi ila pia ni mjasiliamali, pamoja na mambo mengine ninayofanya nimefikiria kufanya biashara ya fresh flowers kutoka Arusha kwa ajili ya kupamba maofisini na pia...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Ni jambo ambalo limenishangaza kidogo. Leo niliamua kutembele wavuti ya TRA ili kujua mabadiliko ya kodi mbalimbali. Kilichonishangaza kwenye TAX COLLECTION STATISTICS , mkoa wa Kilimanjaro ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naombeni pata ushauri na uzoefu juu ya kufungasha mchele toka morogoro kwenda mikoani. ..Mchele unapatkani vipi.mtaji,.bei ya mchele..usafiri, faida na changamoto. ..natanguliza shukrani...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom