Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako kila siku. Kumbuka mafanikio hayatokei mara moja tu, ila yanajengwa kwa tabia...
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)...
Best Franchise Opportunities for 2015 There are lots of "top franchise" lists out there, but Franchise Business Review's annual Franchisee Satisfaction...
baraza la usimamizi wa mazingira NEMC mimi binafsi nashindwa kuwaelewa.
Juzi Juzi walipiga marufuku machinga eneo la jangwani lakini eneo hilohilo kumejengwa karakana nasikia ya BRT sijasikia...
Ufanyaji biashara Tanzania una changamoto nyingi sana, kuna utitiri wa mamlaka na vibali, sasa ipo haja ya kuwa na one business centre.
Sasa hivi unawekeza kwenye kiwanda, anakuja mipango miji...
Wadau,
Mimi ni mjasiriamali ambae nimepanga kuanza biashara ku print tshirt tatizo langu ni jinsi ya kuweka maandishi. Je unatumia programme gani ili kuyaweka maandishi yasomeke sawa.
Kwa...
BRELA wametangaza bei mpya elekezi kwa ajili ya kusajili makampuni na biashara ambazo zitaanza kutumika kuanzia tarehe 01 July,2015.
=========
TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia Mangazo ya Serikali...
Habari wana JF,
Nina uhitaji wa mkopo kiasichashillin 800000tsh. Mimi ni muajiriwa kwamwezi napokea msahara kiasi cha shilingi 450000tsh. Naombakwa mkopeshaji tuwasilane kwa mawasiliano...
As the world is changing from Industrial age to information age where less and less people to be employed as the current trend is showing. A new opportunity is to learn how to employ yourself in...
Unapotafuta kununua gari iliyotumika (used/second), uamuzi wa kujua gari ipi itakufaa utategemea mahitaji, bajeti, na mapenzi yako binafsi. Haya ni baadhi ya maswali yanayoweza kukuongoza kufikia...
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 11
The biggest risk in trading is hubris This is because being wrong is actually an integral part of success. A successful futures trader...
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair rose by 150 pips last week, rising from the support line at 1.0950 and reaching the resistance line at 1.1200...
Habari wana wa jukwaa hili adhimu na lenye manufaa katika ukombozi wa kiuchumi, leo nipo hapa kuomba ushauri na msaada wa namna gani ninaweza kuanzisha biashara ya spare za magari.
Baba yangu...
Waungwana poleni na majukumu,,
Naamini wote wazima,..please naomba mwenye kujua namna rahisi ya kupata visa ya china, hasa kuhusu invitation letter ya kuambatanisha kwa safari ya kibiashara...
Nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati mbaya sijapata mtandao ambao una vipimo vya hili gari hapo chini;
Type: Pick up
Maker...
According to research done by different think tanks in Tanzania shows that the manufacturing industry has the low contribution rate in our national income compared to other industry like retail...
Naombeni kuuliza,
Kuna ndugu yangu kaja kuniambia katembelea benki za NMB,KBC, BOA,POSTA wote wanadai wameteminate kutoa mikopo kwa wafanyakazi wa wizara ya kilimo na chakula eti kisa wizara...
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwa ajili ya kuviweka...