Kuna mdau alipost biashara mbalimbali zaidi ya 50 ambazo mtu anaweza kufanya Lakin Hiyo topic sijaona tena Sijui imefutwa Kama kuna mdau anayo au alikopi naomba anitumie kwenye msg
asanteni
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
From the support line at 1.1050, this pair went upward by 330 pips, going above the support line at 1.1350. EUR is now one...
Wanajukwaa,
Naomba kwa anayejua vizuri kuhusu kampuni tajwa hapo juu anijuze kuhusu bidhaa zake na namna inavyofanya biashara.Nimeambiwa inafanya biashara ya mtandao ilanikimuuliza huyo...
Tunaandaa writeups za matumizi na malengo mbalimbali katika kuwezesha harakati mbalimbali za kimaendeleo; watu binafsi na taasisi mbalimbali nk.
Tunatayarisha Maandiko haya kitaalamu, kiufasaha...
Kwa wana JF wajuzi na wataalamu NAOMBA kujuzwa kuhusu Biashara ya Uwakala wa aina yoyote. Sisi tuna kampuni iliyosajiliwa 2013, inashughulika na mambo mengi, moja ya malengo yake ni kujihusisha na...
Samahani,
Kuna ulazima wowote wa kuwa na sanduku la posta ili kusajili?
Na VP Kama hilo sanduku la posta ukifungua baada ya kusajili?
Naomba kuwasilisha
Watanzania na watu wote wenye mapenzi mema na mimi ndugu yako naomba kwa aliyefaidika au anayefanya biashara ya mtandao nijue kampuni gani inafaa kufanywa na mimi mtu wa hali ya chini?
1. Health
You can almost never go wrong with the health industry--who wouldn't want to be fitter, faster, and stronger, after all? At $21.8 billion, this industry ranks first in terms of...
AUDJPY = Sell
AUDUSD = Sell
EURAUD = Buy
AUDCAD = Sell
AUDCHF = Sell
GBPAUD = Buy
AUDNZD = Sell
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
However, it is pleasant to win over the long term. Contrary to popular opinion, losses are part of winning. Take sports for example. Markham Gross
A drawdown is the peak-to-trough decline...
Salaam!
Kuna anayejua ni bank gani Tanzania ina interest rate kubwa kuliko zote kwa fixed term deposit? Nina kama million thelathini hivi na sina mpango wa kufanya biashara ila nataka niziweke...
Gold
Gold experienced a smooth downwards movement in July 2015. In August, price consolidated for about two weeks before breaking northwards last week. Price consolidated again before the end of...
Hivi neno limited lina maana gani kibiashara au pale mtu anapolitumia kwenye kampuni yake? Je, ili kuweka Ltd kitu gani kinahitajika?
Naombeni jibu kwa wenye uelewa wa hilo jambo.
Dear wana JF!
Hebu angalieni jinsi ilivyo ukitaka Anzisha Biashara Tanzania na Mozambique na ulinganishe hizo Procedures na Siku! Mimi nina experience pia ya mozambique na ya hapa Tanzania, Maana...
A partment FOR RENT.
Fully furnished villas available in Msasani Beach near Regency Park Hotel. Each villa have 4 bedrooms and Bathrooms, specious sitting room and modern equipment. A swimming...
Peer-to-peer banking is an online system that allows individual members to complete financial transactions with one another by using an auction style process that lets members offer loans for a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.