Kuna watu wengi sana wanatapeliwa katika kununua viwanja.
Binafsi nina mpango wa kwenda kununua kiwanja sehemu fulani.
Kwa wenye uzoefu, ningependa kufahamu ni taratibu zipi za kuzingatia...
Illusions are something pleasant. The disadvantage is that they tend to burst like a burble. Wolfgang Kurz
It is true that the market is brutal to most of the people who challenge it. But...
Wakuu,
Naomba kwa wale walio kwisha kutembelea katika visiwa hivi Mafia na Songasi, wanisaidie kujua yafuatayo:-
Ni biashara gani naweza kutoa uko kuleta apa Dar au ni biashara gani naweza...
Habar wadau.
Hivi vi2 viwil huwa vinanisumbua sana.
E.g; kwa kuanzia milion moja
Je ni kipi kinalipa zaid na kwa Bank gan?
Msaada plz kwa mwenye kujua maana nataka ni-Invest somewhere..
Nimeomba mkopo wa biashara benki ya posta miezi 2 sasa hakuna jibu, niliomba milioni nane nikaweka nyumba ya m75 nimeidhinishiwa m3, na bado longo longo kibao, system wanadai zimefeli. Hilo...
Habari wana JamiiForums,
Natumaini nyote ni wazima wa afya, kwa wale wanaosumbuliwa na maradhi nawaombea kwa Mungu mpate kupona mapema.
Binafsi nina "BRILLIANT IDEA" ambayo nimeifanyia research...
Mkurugenzi mpya wa kampuni ya Voda akitambulishwa.
Yani chalii ni yanki kabisa. Hata aliyemtangulia ni kijana mbichi tu. Dah, wakati wengine na madigree yao wakiendelea kupata mshahara wenye digit...
Alex Fourie – iFix (South Africa)
Alex Fourie has started several businesses. Many of them never took off, but he struck gold with his company iFix. When Alex was told his iPhone...
Mimi ni Mtanzania nahitaji kibali kidogo cha uchimbaji madini ya dhahabu, nipo dar es salam ila naenda kuchimbia mahenge Morogoro so naombeni kupata mwongozo kibali hicho kinacost tsh ngapi hapa...
Kampuni yetu: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD tunatambua uwekezaji mdogo, wa kati na mkubwa unaofanywa na watanzania na wasio watanzania katika kujiletea maendeleo yao na ya nchi pia.
Kila uwekezaji...
Despite all his success, Warren Buffett still manages to remain humble and approachable. Here are 12 lessons everyone can learn from the respected businessman.
1. Invest wisely.
Buffett chooses...
1. Screw It, Lets Do It2. The Lazy Way To Success: How to Do Nothing and Accomplish Everything3. Rhinoceros Success4. The American Millionaires Have Spoken
5. The Science Of Getting Rich
6. Dont...
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
Last week witnessed the greatest volatility in the markets since January 15, 2015. Between August 19 24, price went...
Tafadhali kama una uelewa wa
:-
1.,Nini maana ya HISA
2. Zipi ni faida na hasara za kununua HISA?
3. Je, ni Lazima niwe mjuvi wa hesabu ili kuingia ktk ununuaji wa HISA?
4.Je, Soko la HISA la Dar...
Wadau,
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu jinsi ya,kusambaza bidhaa ili ziweze kupatikana katika maeneo mbalimbali Tz,tafadhari anipe mwongozo,kama kuna kampuni za usambazaji au vipi,nahitaji...
Kwa utafiti wangu usio rasmi. Changamoto ya wafanyakazi wengi ni kusuasua kwa miradi na kutokuleta tija kama ilivyopambanuliwa katika Businessplan kutokana na ugumu wa ufuatiliaji.
Lakin pia...
Kwenye makala iliyopita tuliona jinsi ilivyo muhimu kufanya biashara kwa ubia. Tuliona faida tano za kufanya biashara kwa ubia na jinsi ambavyo unaweza kunufaika nao.
Katika makala ile pia...
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 12
"I am actually trading because I learn a lot of important life lessons from it. Trading helps me get to know myself. It helps me think...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.