Balaa la ongezeko la bei na kushuka kwa thamani ya fedha dhidi ya dola ni msiba wa afrika mashariki....inaonekana tunafuata nyayo za Zimbabwe....tulihoji inakuwaje tulipoletewa sarafu ya 500...
Manji ampiga bao Dangote Afrika
 Burudani
 September 16th, 2015
 0 Comments
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Quality Group, Yusuf Manji.
Mwandishi Wetu,Dar es Salaam...
Ive not failed. Ive just found 10,000 ways that wont work. Thomas Edison
If trading is only about money, you have very little chance of success. Dr. Van. K. Tharp
In recent times...
Nimefungua ofisi yangu ndogo mtaani. Lengo langu ni kutoa huduma za kuwezesha biashara (Business supporting services). Mimi ni mshauri wa IT (IT consultant) lakini pia kutokana na uzoefu najua...
Habari wana JF
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa msaada nilioupata baada ya kuomba wataalamu wa ramani za nyumba, wabarikiwe kwa wale wote waliochukua muda wao na kuwasiliana na...
I was amazed to hear this news from the equity fund Grofin which offers loans for small and medium enterprise firms.
You can borrow from 50000dollars to 1.5mill dollars.
Payable within 4 and 6...
Karibu kwenye fursa Network marketing isiyohusisha kuuza. Ni network marketing pekee duniani isiyo lazimisha members wake kuuza bidhaa.Kama ni mtu mwenye ndoto kubwa,mchapa kazi na unaependa...
Insignia increases focus on education.
As corporate social responsibility (CSR) turns into a legal mandate in some countries and an option to various countries, various researchers have discovered...
Natanguliza salaam wakuu,
Ndugu naomba mwana JF yeyote anayeishi New York nimuombe kufanya nae assignment/info ya muda mfupi.
+1-202-790-8514 au PM.
Ahsante na natanguliza shukurani.
Rakey.
Wakuu poleni na mahangaiko ya hapa na pale,
Naitaji gari la mkopo. Kama kuna mtu anajua yadi wanayokopesha magari kila mwez ukawa unalipa nitashukuru saaana na mashart yake.
Kama unajua...
Ndugu wana JF
Mimi npo Dar nnahitaji biashara ambayo tayari inaendelea iwe ndogo ama kubwa tutaelewana
Labda kwa nn nahitaji;-
-ntapata experience
-ntajua changamoto zake
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
As it was mentioned in the last forecast, bulls made effort to push EURUSD upwards, and they were successful in doing...
Kampuni ya Nakumat ya Kenya inakamilisha mchakato wa kuinunua kampuni ya Shoprite Tanzania, yenye maduka matatu nchini. Hii imekaaje? Watanzania tumeshindwa kuingia kwenye retail business? Hawa...
AUDCAD = Buy
USDCAD = Buy
EURCAD = Buy
CADJPY = Sell
CADCHF = Sell
GBPCAD = Buy
NZDCAD = Buy
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
Eti wanajamii hivi kikwete alivyoo ingia madarakani dola ulikuwa inauzwa shilingi ngapi?na sasa anaondoka anaicha inauzwa shilingi?halafu tunaambiwa uchumi unakuwa,sasa sijui unakuwa kwa njia...
Habarini wanajamvi,
Mimi na mdogo wangu tunaishi Mwanza kwa kwasasa kunakiwanja tuliachiwa na mama yetu ambaye ni marehemu kwa sasa kipo Arusha Kisongo pia pananyumba mbili za tope squatter...
katika pita pita yangu mitandaoni nimeona haya katika website ya tume ya mipango.
Roles and Functions of POPC1. To Develop Vision and Guidelines of the National Economy
2. Economic Policy...
Hongera kwa kuendelea kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa AMKA MTANZANIA. Naamini kupitia mtandao huu umekuwa ukipata maarifa na hamasa ambazo zimewezesha maisha yako kuwa tofauti na...
Tafadhali ninahitaji makaa ya mawe kutoka Mbeya kwaajili ya Plant yangu huko Dodoma. Vigezo na masharti vitazingatiwa kwa yeyote atakayesaidia upatikanaji wa malighafi hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.