Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair fell 200 pips last week, almost touching the support line at 1.1100. Afterwards, price bounced upwards by 180...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Natafuta mwekezaji katika madini ya TANZANITE, yaliyopo MERERANI, MANYARA, TANZANIA. Mimi ni mchimbaji mdogo mdogo, sina vifaa vya kisasa (ADVANCE TOOLS) eneo lina ukubwa wa eka, stakabadhi zote...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf. Kutokana na hali ya ngumu ya kiuchumim kuwa ngumu nimeamua nijipange upya kabisa, kwanza nataka nijue mitaa ya Dar, Mwanza au Moshi mjini mjini na sehemu nyingine naweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi hizi bei za TRA za Magari mapya/yalipokua mapya wanazipata wapi? Mimi nina mashaka nazo sana! Kwa mfano tuangalie bei zifuatazo za Toyota RAV4 Model Year CC Price...
8 Reactions
156 Replies
77K Views
Habari zenu wanajamvi, Nimeamua kuanzia leo niwapatie mawazo ya Biashara na namna ya kufanya biashara kwa wale wote wenye mitaji lakini hawawezi na hawajui wafanye biashara gani,nitatoa ushauri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari ilykw inalpw elf 60 kupanda hadi 250000 itv inaongelewa ss hv
0 Reactions
41 Replies
18K Views
Wadau, Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB. 1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V...
7 Reactions
30 Replies
16K Views
Mwenye Ujuzi Namuomba anifahamishe. Hivi unapofungua Account ya Paypal,wanakutaka ujaze no.ya credit card(mi ya kwangu CRDB Master Card) je unatakiwa ujaze Card number au Account number?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matibabu yanayohusu mfumo Wa uzazi MF: KAMA A) KWA KINA MAMA KAMA una kati ya haya. 1; kotoshika mimba 2: uvimbe Wa kizazi 3; kupata maumivu wakati Wa hedhi 4; kutosikia hamu ya tendo la ndoa 5...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Salaam wakuu. Kuna jamaa yangu amelima ulezi anao mwingi sana upcountry. Wanaodeal na mazao naulizeni soko la hapa mjini likoje, kuna mteja Wa kuweza kununua gunia 50 kwa pamoja? Bei ikoje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau, Nilikua naomba ushauri wa business idea yoyote nzuri ninayoweza ku undertake kwa Capital ya Tsh. million moja. Nipo Dar, maeneo ya Kimara.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwenye kujua zilipo Ofisi au warehouse ya kuuza magari (used cars) za cheki.co.tz. Wanatangaza kwa Kiswahili Katika website Yao lakini hawajaweka contact details wala mahali walipo.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Salaam wakuu. Kwa wale wakazi wa Dar es Salaam, na maeneo ya jirani kwa leo(15.01.2014) tumeweza kushuhudia foleni ilivyoweza kuwa kubwa, kiasi kwamba barabara takribani zote toka asubuhi muda...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
habari JF(S) ningependa kjua kwa yeyote mwnye uzoefu na mannuzi ya bdhaa from apple.com anisaidie jinsi ya kuziship tz.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JF Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa gharama zote zinazohitajika kwa ajili ya kuvuka na toyota coaster kwenda Zambia. Hapa namaanisha road toll na bima na gharama zingine zote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi nafutilia kwa karibu sana utendaji kazi wa benki zenye sura halisi za kitanzania kwani ni una uhakika faida itayopatikana haitoki nje kama mabenki mengine.Kwa siku za karibuni baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Though this pair was trendless in the first few days of last week, it was characterized by high volatility on Thursday and...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Amani iwe kwenu wana J.F. Nataka kuagiza gari toka Japan, IST, 1290cc, ya mwaka 2006. Naombeni msaada wa gharama halisi za kutoa gari bandarini (Dar) hadi uwanjani kwangu. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dow drops 234 points as Fed fans global growth fears Published: Sept 18, 2015 10:32 a.m. ET...
1 Reactions
0 Replies
870 Views
Back
Top Bottom